[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] akilizako ni za mkesha nahic, itakua unazielewa mwenyeweHahahahaha
Wanaume wa jf bwana
Wameona shahawa za mwenzao zinaenda tumbuliwa wanatoa ushauri wa busala
Sent using Jamii Forums mobile app
Waweza usiwe umetoa weweSasa mkuu mbonaa huelewi!!! We endeleenitu kushabikia dhambi,
lakini nyongeza ya hapo kwa bahati nzuri hakuna uzi wowte hapa jf ambako niliwahi kuwa beza single mom sasa waweza ku prof hicho ulicho kisema labda, tofaut na kuni attack labda??
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ndio umepata lugha za staha eeehhh?nipandishe comments zako dhidi ya masingo maza?Hizo sio shahawa...Ni mtoto kama ulivyokuwa wewe...! Vipi wewe Ungetolewaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mwaka 2019 tunaplan kupunguza masingo mazaNikishamsikia mwanamke anasema amemshauri mwenzake atoe mimba basi picture inayojengeka akilini mwangu ni kwamba ni malaya mmoja anayejiuza huko mitaani!!!
How akatoe mimba,alipokuwa anatapanywa mapaja alichokitegemea ninini?na wewe kama mama yako angekutoa ungepata huo wasaa wa kuja kumshauri mwenzako hivi?
Pathetic!
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza matusi kwa singo mazas[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] akilizako ni za mkesha nahic, itakua unazielewa mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan wanawake wanajikula uroda peke yao.wajibiken nyie midume ya kitz,msojua kulea,akil kama za majogooHivi dunia ya sasa ni ya kula uroda pekupeku bila Ndom madhubiti. Mtu uwezaye kula uroda free bila kinga ni mume au mkeo tu
Wanawake sijui kawaroga nani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pandishaa hapooo...Wekaa zotee sihawahi support kutoa mimbaa never...!! usingle mazaa ndo nini kwanzA??Leo ndio umepata lugha za staha eeehhh?nipandishe comments zako dhidi ya masingo maza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawah sapot kutoa mimba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pandishaa hapooo...Wekaa zotee sihawahi support kutoa mimbaa never...!! usingle mazaa ndo nini kwanzA??
Sent using Jamii Forums mobile app
U dumbass huwezi kumwambia atoe eti kisa watu wana tukana single moms jamii forums ushasema Dada anauwezo wa kulea mtoto so y atoe nooo unakosea sana ifike kipindi women's tubadilike kuishi na mwanaume doesn't guarantee kwamba utakua happy ur whole life ...tubadilike jaman wanawake tujijenge kiuchumi ili tuwe huru kuacha kuwaabudu wanaume . mtaani kuna wanawake kibao tu wanalea watoto wenyewe na maisha yanasonga...huwezi jua mtoto atae zaliwa atakuja kuwa nani duniani....smh...Thawabu ndio ila matusi je?
Kiukwel nimemshauri kutokana na posts nyingi za kuwatukana single mothers hapa jf,kwanini akubal kunyanyapaliwa wakati kuna option?
Its true shoga yuko kwenye wakati mgumu hadi huruma
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Lete comment nikulipeeeHujawah sapot kutoa mimba
Ila umekuwa miongon mwa wanaotukana singo mazas humu jukwaan,kama walijipa hizo mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi, nami hilo huwa naliona na ninapita mbio kama cjaona maana wao wenyewe wanao jikuta wana watukana ukute ndio wanao wazalisha na kuwaacha kwenye maisha duni na kulea watoto wao kwa tabu sana,Waweza usiwe umetoa wewe
Ila wenzio asilimia 90 ya nyuzi humu ni kuwatukana na kuwadhalilisha masingo maza,image mbaya sana kwa jamii yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuaminije mtu mpaka anakukula kavukavu wkt ni bf tuKwan wanawake wanajikula uroda peke yao.wajibiken nyie midume ya kitz,msojua kulea,akil kama za majogoo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] haya mkuu, vita yako siiwezi kwahyo umenishinda.Punguza matusi kwa singo mazas
Haya ndio matokeo,mie ntawashauri wanawake kudeal with your sperms this way
Sent using Jamii Forums mobile app
Plan ya kuuwa unathubutu kuita plan tena huku ukicheka?Hahahaha mwaka 2019 tunaplan kupunguza masingo maza
And this is the plan,fyekelea mbali shahawa zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora atoe tu, hakuna haja ya kuleta kiumbe duniani ambaye hatopata mapenzi ya wazazi wote wawili kikamilifu sababu ni dhahiri hata huyo wa pili hajamuoa, kwahiyo ni rahisi pia kumkacha na kumsusia mtoto. Bado sielewi kwanini kutoa mimba changa kwetu ni kosa, kama hakupangwa bora asije tu.Iko hivi binti ana mtoto mzuri tu wa kiume 4 years now. Ni single parent na amekuwa akilea that boy alone since mimba till today. Baba mtoto alitelekeza mimba hadi mtoto,ingawa saivi anadai mtoto,ambaye kiuhalisia hawezi pewa.(kwa mujibu wa muhusika)
Point ya thread ni kuwa bidada amepata ujauzito mwingine wa mwanaume mwingine,mwanaume hajui kama bidada amenasa.Na kutokana na experience mbaya ya baba mtoto wake wa mwanzo,katika kuonyesha ushirikiano wa malezi,bibie ameamua kutoa.Uwezo wa kulea alone anao ila anasema alipitia experience mbaya sana ambaye imemwathiri kihisia na anahofu yasije jirudia.
Hivyo anaomba ushauri;
Je amwambie mhusika?
Au asimwambie na aitoe tu kimya kimya kuepuka drama kama za awali na first baby dad plus maumivu ya kipychology alopitia before?
Binafsi nimemshauri atoe mostly kutokana na lugha za kudhalilisha humu jf kwa single parents na jinsi jamii inavyowanyanyapaa single female parents.
NB;anasema alikuwa anatumia p2 kuzuia mimba toka ameanza mahusiano na huyu Mwenye mimba wa pili about a year ago,its just this time around kanasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hajamwoa na haonekan kama anamwelekeoBora atoe tu, hakuna haja ya kuleta kiumbe duniani ambaye hatopata mapenzi ya wazazi wote wawili kikamilifu sababu ni dhahiri hata huyo wa pili hajamuoa, kwahiyo ni rahisi pia kumkacha na kumsusia mtoto. Bado sielewi kwanini kutoa mimba changa kwetu ni kosa, kama hakupangwa bora asije tu.
Write your reply...si useme ni wewe tu mkuu halafu tayari una mtoto ana miaka 4 apo tayar ni single mum unadhan ukitoa hio ndo jina litabadilika? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizo busara umezipata Leo?Plan ya kuuwa unathubutu kuita plan tena huku ukicheka?
Tatizo wanawake hamjitambui,unapokea shahawa za mtu ambaye hata hujui kama ana lengo gani na wewe kwanza huo ni ujinga second unapata mimba unawaza kwenda kutoa,hufikirii maumivu anayoyapata mtoto.
Unatakiwa ujitambue,wewe umeumbwa kama chombo cha kuwezesha uhai duniani karama yako hii usiitumie isivyotakikana,plan ya kuzuiya hili vaa chupi ya bati hakuna mtu kuona maungo yako kama ndoa hamna nyie mnajirahisisha sana halafu kibwege tu.
Sent using Jamii Forums mobile app