mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,963
Habari wana jf.
Jamani nawakilisha uzi huu kwa niaba ya rafiki yangu kipenzi.
Yeye ana demu wake Ni mrangi, mtoto mzuri, mweupe, modle, meno tu ndio meusi kdg.... (hahaha)
Ameniuliza vip kuhusu tabia za watu wa kabila hili?. Sasa kwakuwa siwafahamu nikaona nulete huu uzi.
Asanteni.
Ndo Mimi zee mwenye kasumba zake.