Anataka kuoa bao la nje la baba yake mdogo

Anataka kuoa bao la nje la baba yake mdogo

sio taahira tu hata anaweza kuwa na udhaifu mwingine kama wa viungo. Ndio maana hata wanyama wakufugwa hutakiwi kuzalisha watoto na baba yao
hatari sna ..sababu kuu inayopelekea kutokea kwahilo ninini!!? kwa mujibu wa sciences
 
google utaona. Usinichoshe niko likizo nakula bata na familia
bwahahaaaa mamaee sio kwajibu hili
mkuu namimi naomba hiyo griss unayoitumia kulainishia Vyuma vyako...
January yote hii unakula bata
 
google utaona. Usinichoshe niko likizo nakula bata na familia
kwanza najishangaa hata kwanini nilikuuliza swali ..wewe mtu kibonge hvyo ulivyokuwa mzito mpka kufunga kamba za viatu mpka uundiwe tume
unaanzaje kunijibu swali langu pasipo kuona uvivu wakufikiri
 
kama ndugu zake wameshindwa sisi ndo tutaweza?
 
mkuu kumbe ukioa aka kuzaa na nduguyo mnaweza kuzalisha watoto mataahira ...nilikuwa sijui hii duuhh
Usiamini hilo kwani huku ulaya matahira kibao lakini hawaoani ndugu na hakuna prove yoyote kisayansi inasema hivyo
 
Usiamini hilo kwani huku ulaya matahira kibao lakini hawaoani ndugu na hakuna prove yoyote kisayansi inasema hivyo
ngoja niyabebe hayo yote mawili lako na La Jamaa ..
maana wanasema lakuambiwa ongeza nalakwako
 
Back
Top Bottom