Anataka kuoa bao la nje la baba yake mdogo

Mbona hata sio tatizo,angekua kama sisi mtoto wa mama mkubwa kwa mama mdogo ningesema wako karibu sana lakini huyo mbona its okay..
 
huwezi oa mtoto wa ba-mdogo aseeh, kwanza walianzaje anzaje huo mtanange

Tuangalie issue ya vinasaba hapo. Kwenye DNA wakipima itaonekana ni ndugu kwa kuwa wana vinasaba vya babu mmoja. Kijenetiki huyo ni mtu wa karibu wanaweza kuzaa misukule aka machizi fresh
 
Haifai kuoana ndugu watapata watoto wenye mtindio wa ubongo labda angekuwa binamu yake angeruhusiwa hao ni kaka na dada vibaya kwa mila zetu
 
Tuangalie issue ya vinasaba hapo. Kwenye DNA wakipima itaonekana ni ndugu kwa kuwa wana vinasaba vya babu mmoja. Kijenetiki huyo ni mtu wa karibu wanaweza kuzaa misukule aka machizi fresh
mkuu kumbe ukioa aka kuzaa na nduguyo mnaweza kuzalisha watoto mataahira ...nilikuwa sijui hii duuhh
 
Mbona hata sio tatizo,angekua kama sisi mtoto wa mama mkubwa kwa mama mdogo ningesema wako karibu sana lakini huyo mbona its okay..
Kwa baba mdogo na mkubwa sio tatizo, ila kwa Mama mkubwa na mdogo ni tatizo, kivipi?
 
Asikilize ushauri wa Shangazi zake mbaya sana kuoa ndugu mara nyingi Watoto wanakuwa na mtiondio wa Ubongo.
 
Kwa makabila mengine baba akizaa nje ya ndoa hujisikia kijana wake wa kiume akioa huyo binti. Eti anafurahi damu imekutana na damu. Japo huwa ni siri sana na mwoaji na mwolewa hawaelewi chochote. Hii ni kwa zile mila za kutafutiwa mchumba na wazazi
 
Yaah kweli kabisa 100%,wapo ninao wafahamu na hawajazaa mtoto mwenye mtindio wa ubongo hata mmoja.
 
mkuu kumbe ukioa aka kuzaa na nduguyo mnaweza kuzalisha watoto mataahira ...nilikuwa sijui hii duuhh
sio taahira tu hata anaweza kuwa na udhaifu mwingine kama wa viungo. Ndio maana hata wanyama wakufugwa hutakiwi kuzalisha watoto na baba yao
 
Back
Top Bottom