Tall and Dark men.. are on high mandate, watakusumbua..LOL!Fantasy hizi kazi kweli. Me nikikapata kaandunje kangu kakuendana na mimi hehe , ntajishaua nako kama sio mie niliyekuwa namdream a "tall and dark man" lol
Asije akaolewa na kaka wa watu afu hata kuongozana naye hataki (she can't publicly acknowledge him kwamba ni mumewe). Though it's better kuangalia features ambazo ni za long term (IMO)
Me mwenyewe msumbufu lolTall and Dark men.. are on high mandate, watakusumbua..LOL!
Tena huyu andunje akitemwa, apige magoti kumshukuru Mungu.
-nothing Good gets away
Yaaa alinihakikishia hana mtu na ni kwel kakaa miaka 3 bilaa relation sahv kaolewa na mrefu mwenye kipato cha kawaida kuliko wa mwanzo na ananiambia anajiskia vizur kumwona mmewe mrefuhadi huruma mmh
I mean pm kwako??hayupo JF
Always watu hutafuta wapenzi wenye tabia tofauti na zao..Me mwenyewe msumbufu lol
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Always watu hutafuta wapenzi wenye tabia tofauti na zao..
Vicheche hutafuta Watu waliotulia/wacha Mungu
Receivers hutafuta Givers
Talkative hutafuta Reserved
Wasumbufu hutafuta ................LOL!
Malizia mkuuAlways watu hutafuta wapenzi wenye tabia tofauti na zao..
Vicheche hutafuta Watu waliotulia/wacha Mungu
Receivers hutafuta Givers
Talkative hutafuta Reserved
Wasumbufu hutafuta ................LOL!
Basi naomba namba mwambie amuache salama asimjeruhi moyo[emoji23][emoji23][emoji23]anazo sio za kutisha though ila pia naskia kapandishwa cheo idk..
Like Charges Repel ..hahahahaha[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nyoosha maelezo...sema walimeet online.....kuja kushtuka jamaa dwarf.the guy alikua mkoa na alivokuja dzm wamemeet mara mbili tu ya pili ndo kagundua ufupi,mara ya kwanza haku notice mana hatukukaa nae sana
hata mimi nasubiri jibu kutoka kwa Heaven SentMalizia mkuu
wasumbufu utafuta nini ?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] we noumerBasi naomba namba mwambie amuache salama asimjeruhi moyo
hawakumeet online...Nyoosha maelezo...sema walimeet online.....kuja kushtuka jamaa dwarf.