haha.. eti wanahisi hawaonekani..warefu wengi ni wapole ndo wazuri, wafupi wabishi, wana maneno, wakorofi wanajiona wao ndio wao nadhani ule ufupi unawafanya kukosa kujiamini, wanahisi hawaonekani kwahiyo wanadhani wakiongea Sanaa ndo wanaonekana,
Hahha warefu show-off nje mnapendezeana hatari, ndani sio wabaya sana ila kuzidiwa kimaumbile na wafupi ni fact... Atleast for what I have observed myselfNyinyi watu mbona hamuleweki?!! Mara mseme mnapenda warefu kwasababu ni warefu na kule....sasa leo tena unasema wafupi nao wamejaaliwa kule!!
We uko competent na ipi sasa...mana kwa English so far ni chakaaI hate much people who prefer code mixi g, cant you use one language to be understood and that is due to incompetance to both of the two languages
Umeua mkuu, kuna mdada alionesha kunipenda lakini ndo hivyo baada ya kuona ni mrefu zaidi yangu ikabidi nile kona.Kwani wewe huna kigezo chako ?acheni habari zenu mkichagua nyie ni sawa ila tukichagua sie inakuwa tatizo. Huwezi kuwa na mtu mmesimama anakufikia kiunoni.
..Kweli wewe the end,..umekuwa wa mwisho kucomment.hao ndio wakigongwa wanapigwa na camera kukomeshwa...
I can see you are competent.I hate much people who prefer code mixi g, cant you use one language to be understood and that is due to incompetance to both of the two languages
Hahahaahha vibaya hivyoo jmn lol..I can see you are competent.
Warefu wamepewa urefu wa mwili tu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Nyinyi watu mbona hamuleweki?!! Mara mseme mnapenda warefu kwasababu ni warefu na kule....sasa leo tena unasema wafupi nao wamejaaliwa kule!!
Hater...Warefu wamepewa urefu wa mwili tu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Sema kweli?Warefu wamepewa urefu wa mwili tu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hater...Hater...
Kweli.Sema kweli?