Anataka kumuacha kisa ufupi

hivi warefu hawana mapenzi??
huwezi pata wanaume mfululizo wenye mapenzi ya kweli hlf nachojua mimi wanawake selective uwaga wengi wanaangukia pabaya mnk wengi wao niwale wakujitongozesha ukicompare na wanawake ambao wao wapo cool improving their qualities....mwanaume achaguliwi mwanaume anachagua sasa cuzo wako ndo nhs ndo wale wakuchagua ***** subiri uone wanaume walivyo nyoko
 
Huyu mfupi atakuwa ni mwanga!!!
 
Kwanza kupata mwanaume Mfupi halafu mpole ni bahati kubwa sana, labda huyo mdogo wako ana jengine, ufupi sio sabab ya msingi au niulize mdogo wako ana umri gani?
Yaan akiwa mfupi halafu mpole ni bahati?! You mean ni watata sana?! Pengine kweli maana nikimtizama yule wa pale magogoni alivomtata...nchi zima mwanamme kabakia yy tu...!
 
Nilikuwa na kademu kamoja Ni Kafupi ila kipindi tunaanza alikuwa model na nilikapenda sana but soon kakaanza kunenepa kamekuwa kama jaba nimekosa kabisa hamu nako...binafsi sipend mademu wanene...so its just the matter of choice
Jamaa umenichekesha....sasa mtu anaweza kuwa kama jaba kweli?! Yaan kawa wa mviringo?
 
Punguza uhun wa lugha auelewek kama akili zenu mnapokuwa kitandan mala nishike uku mala nishike kule ongea ngel basi au kiswaz bas MWAMBIE SHOST WAKO ATUMIE TANGO muache kutusumbu.
 
Punguza uhun wa lugha auelewek kama akili zenu mnapokuwa kitandan mala nishike uku mala nishike kule ongea ngel basi au kiswaz bas MWAMBIE SHOST WAKO ATUMIE TANGO muache kutusumbu.
"uhun" ndo nini???
"auelewek" hii lugha ya wapi???
"mala" ndo nini???

nyani haoni kundu lake,kama kuna neno la kiingereza hukulielewa uliza,hilo povu fulia boxer

jisome tena ulichoandika...
 
Jamani kwani sisi warefu na wapole unatuchukuliaje?
warefu wengi ni wapole ndo wazuri, wafupi wabishi, wana maneno, wakorofi wanajiona wao ndio wao nadhani ule ufupi unawafanya kukosa kujiamini, wanahisi hawaonekani kwahiyo wanadhani wakiongea Sanaa ndo wanaonekana,
 
Huyo cuzo wako aseme tu anamwacha sababu jamaa kaanza kutambaa na bit ya mjomba magu,sasa amepata mwingine ambaye bado yuko kama mzee wa bure. Haiwezekani aanze naye mapenzi akiwa hivyo then leo aseme ni mfupi. Au ni wewe mwenyewe nini? Mwambie amwache mapema akatafute mrefu mwenzake ili jamaa apate mwenye mapenzi ya kweli ambaye haangalii fedha,kimo ila mapenzi ya kweli
 
Na mwanamke mfupi?


Acheni ujinga huo. Ukorofi,ubishi na mengineyo yategemea na mtu alivyo.
warefu wengi ni wapole ndo wazuri, wafupi wabishi, wana maneno, wakorofi wanajiona wao ndio wao nadhani ule ufupi unawafanya kukosa kujiamini, wanahisi hawaonekani kwahiyo wanadhani wakiongea Sanaa ndo wanaonekana,
 
Na mwanamke mfupi?


Acheni ujinga huo. Ukorofi,ubishi na mengineyo yategemea na mtu alivyo.
Sasa wewe ni mfano wao? si unaona umeanza na tusi kwanza, ingekuwa ni mtu mrefu angeomba tu kufafanuliwa. wengi ya wafupi wako hivyo. Wanapenda kuongea, wakorofi, wanajidai wanajua sana, n.k., kama wapo wapole wachache.
 
Licha ya upendo wa dhati wamejaliwa kimaumbile kunakoo kulee... Mtu uchague kipi important kwako,kufurahishwa ndani ama kuonekana couple nzuri nje...hupati complete package
Nyinyi watu mbona hamuleweki?!! Mara mseme mnapenda warefu kwasababu ni warefu na kule....sasa leo tena unasema wafupi nao wamejaaliwa kule!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…