Anatafutwa nani hapa?

Anatafutwa nani hapa?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1424931927009.jpg
 
Anauliza kwa mamlaka amesahau amepangiwa kuwa mkuu wa wilaya ipi!!!!?!?!
 
Anakutafuta wewe mleta mada mlienda bar ukamtoroka
 
Ningeandamana kama ningekukosa kwenye hii thread

Nimekumiss wewe sijui kwa nini umepotea hivyo Honey Faith
Si unajua mwanaume wa ukweli kuna kitu anapenda kutoka kwa mwanamke

Mkuu hanijui huyo kama unamjua nipatie mawasiliano yake

mengine yatakushinda sasa

Angalia kwenye profile yake kaweka no mkuu MO11 ili mumtafute
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini umezima simu jamani, si upokee simu si unajua gari lake gereji anahitaji kurudi saivi
 
Wale wazee wa zamani mliokuwa mnaweka pillow hapa huhiihitaji tena anayo pillow mwenyewe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom