Anatafutwa mwalimu wa masomo ya "computer"

Elly official

JF-Expert Member
Sep 16, 2018
728
976
Tafadhali una mzaha usisogee hapa. Anatafutwa mwalimu wa kufundisha NETWORKING NA PC MAINTENENCE kwa muda wa miezi 3.

Lazima uwe na diploma chuo kinachotambulika na serikali ama certificate kutoka chuo kinachotambulika na serikali and Vocational teaching certificate ya ualimu ya morogoro is an aded advantage.

Maombi yatumwe kwa email ya elipaket@yahoo.com. hakuna kiingilio hakuna rushwa utadaiwa. Acha namba yako kwenye cv utapigiwa simu na hr.

Eneo la kazi ni musoma mjini maombi yatufikie kabla ya tarehe 25 february

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Musoma mjini maeneo gani ? Nyasho au??weka malipo hapa tuchangamkie fursa
 
yeah...its a trash.......lkn makampuni makubwa ya tech ikiwemo GOOGLE,FACEBOOK,INFO TECH ya billionea MAREHEMU Mufuruki hayana certificate holders
....wengi wa watu waliomo mule wanazifanyia kazi makampuni haya kutokana na uwezo wao wakuendana na kasi ya technology na sio certficate wala degree

SOMA nyuzi za member huyu Chief-Mkwawa
utajua anafanya yote haya kutokana na HOBBY na wala hana hata hcho cheti......
"kama alivyojielezea kwenye moja ya comment zake"
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom