inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 657
- 733
Kuna mtu ana duka la dawa Malinyi Mjini, anatafuta mtu wa kumuuzia duka la dawa.Ila mtu huyo awe na cheti cha ado. Nadhani hao ni wale waliopitia mafunzo ya TFDA.
Tafadhali kama upo maeneo ya yaliyo karibu mfano Ifakara n.k na una ndugu yako nipm niwaunge na mmiliki wa duka
Tafadhali kama upo maeneo ya yaliyo karibu mfano Ifakara n.k na una ndugu yako nipm niwaunge na mmiliki wa duka