Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,328
- 11,463
Anatafutwa binti wa kufanya kazi za ndani katika familia ya mtu mmoja, kijana wa kiume mtumishi anayejiheshimu, kijana ana umri wa miaka 27, hana familia. Anaishi Manzese kwenye chumba kimoja cha kupanga
Binti anayehitajika anatakiwa kuwa na umri wa miaka 18 hadi 24, asiwe mcharuko, awe na shepu
Kazi ni kufua, kuosha vyombo, kudeki ndani na kupika. Atachagua yeye, kama ataishi hapo hapo ama atakuwa ni wa kwenda na kurudi (kuingia saa 10 jioni, kutoka saa 2 asubuhi)
Mshahara LAKI MBILI kwa mwezi (kula juu ya boss)