Nahitaji mwanamke aliyemaliza kuanzia kidato cha nne na kuendelea ambaye nimwaminifu ili niweze kumuajili kwenye DUKA LA M-PESA na TIGO- PESA MAKUMBUSHO-Dar. sifa zake 1 uaminifu 2.umri miaka 20 na kuendelea 3.mchapa kazi. malipo ni maelewano kati yangu na yeye. Kama akipatikanika wa makumbusho itakuwa vyema zaidi MAWASILIANO NI 0719526860