Anatafutwa msaidizi wa mauzo/ boutique attendant

Joined
Aug 17, 2016
Posts
73
Reaction score
39
Je una elimu ya kidato cha nne na umekuwa ukitafuta kazi kwa kipindi kirefu bila mafanikio? Changamkia fursa hii ni yako. Anahitajika Kijana wa mauzo katika duka kubwa la nguo, viatu n.k. Awe mchangamfu na mwaminifu.

Tembelea tovuti yetu kwa maelezo zaidi.

Wasiliana nasi kupitia namba 0758 961 961
 
Je una elimu ya kidato cha nne na umekuwa ukitafuta kazi kwa kipindi kirefu bila mafanikio? Changamkia fursa hii ni yako. Anahitajika Kijana wa mauzo katika duka kubwa la nguo, viatu n.k. Awe mchangamfu na mwaminifu.

Tembelea tovuti yetu kwa maelezo zaidi.
Mimi nipo tayari 0718 008140
 
Acheni uhuni, wekeni contacts zenu hapa watu wawatafute.
 
Nipo tayar ni mcheshi sana, na ninauzoefu pia mchapakazi sana...
 
Back
Top Bottom