Anatafutwa mrembo

huyu kama kweli katorokea majuu cha msingi afanye kazi kwa bidii ili siku moja aje kumlipa mwajiri wake ili aishi kwa furaha
Mbona tunaye huku ughaibuni? Tena tangu afike amekuwa ni mtu wangu wa karibu sana.
 
Huyo Shuma kama ni babake basi siyo mpare, wachagga wajanja sana!
 
Nitoe taarifa wapi wakati mimi niko Bongo halafu mtu mwenyewe mnasema kakimbilia Ulaya, Malaysia au Marekani...pambaffff kweli
 
Nikimuona ntamshauri ajifiche zaidi. Hivi bank ya posta si ndio inasuasua?na mashirika yanayosuasua yanatakiwa yabinafsishwe? Safi lily tumia huo mtaji ukirudi ukakuta posta washafilisika ndo watajua ulikuwa uliona mbali
 
tatizo utakuta kaiba hela za mbuzi tu milioni 2 angeiba milioni 200 anajificha Somalia hapo


sasa mnamtafutia nn....kama mnaona hela yenyewe ya mbuzi

muongo wewe ingekua kweli milioni mbili hata msingehakaika kumtafuta

huyo kawakwapua kweli ndo mana mmetoa hadi matangazo
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom