Soma kwanza!! marafiki hata huko shule ni wengi, wengine utawapata discussion na huko unakokaa.
sisemi wa huku JF hawafai!! la!! ila naona huo muda na internet ungeitumia ku google materials ya shule na kukomaa na kusoma.
we mtoto sijui unasoma shule gani na combination gani!!!navyoijua Mwanza bado una tope jing sana usoni!!soma mdogo wangu!!maisha yapo!!achana sana na mambo ya mtandao,yatakupotezea muda!!!!!ajali ushauri huu kama zimo!!ukishindwa shauri yako!!!!!