Anatafuta mume

Anatafuta mume

Anaonekana ni mgonjwa wa akili huyu, tusimfanye awe kituko. Wanadamu tuoneane huruma pale mmoja wetu akipatwa na matatizo, sio kumfanya kicheko.
 
Anaonekana ni mgonjwa wa akili huyu, tusimfanye awe kituko. Wanadamu tuoneane huruma pale mmoja wetu akipatwa na matatizo, sio kumfanya kicheko.

Haha haha haha kipendacho roho best!
 
Pengine ndio wale waoishi darini !!!

Huyu anaonekana tu, na hiyo harufu yake hapa mtandaoni ni kama alitoroka Ikulu vile baada ya mshua kwenda China na wife. Ridhiwani mbona atakoma mze akirudi, yaani kuachiwa jukumu la kulisha tu yeye kaachilia moja kwa moja.
 
Tumuogopeni Mungu wajameni na tuache kukosoa viumbe wake. Hatuna tulichompa Mungu ila katuepusha tu na kuwa hivi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom