Anatafuta mke

Badu

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
407
106
Huyu mshikaji anatafuta mke wajamen
 

Attachments

  • Tisha.jpg
    Tisha.jpg
    3.3 KB · Views: 464
Mwambie aende Afghanistani atapata mke, huku Afrika kusini ya sahara hapati mke, ana sura mbaya mno!!!!
 
siku hz kumbe mnaangalia sura eeh!

Ndiyo hii ni karne ya 21, utatokaje out na mtu mwenye sura ya mwaka 1800? Angalau huko Afghanistani kuna utaratibu wa mke kukaa ndani tu na mme ndiye pekee anatoka kwenda mihangaiko, au kama wanatoka wote, mke huwa amefungashwa gubigubi hata watu hawawezi jua huyu kibabu sura mbaya mke wake ni nani. Mwanamke akiwezeshwa anaweza!!!!!!
 
Ana Mihela? ebu aonyeshe migorofa na mi dollar alokua nayo kwanza sura unaweza mvalisha kigozi...
 
Mwambie aende Afghanistani atapata mke, huku Afrika kusini ya sahara hapati mke, ana sura mbaya mno!!!!
Madam, ana pochi la kufa mtu!
Bulungutu lake la afghanistan ni la madawa ya kulevya!
Anaweza kukujengea jumba la ghorofa kumi kama mchezo.
Vumilia maana atakufa muda si mrefu!!!
 
Madam, ana pochi la kufa mtu!
Bulungutu lake la afghanistan ni la madawa ya kulevya!
Anaweza kukujengea jumba la ghorofa kumi kama mchezo.
Vumilia maana atakufa muda si mrefu!!!

Afe wap nawakat bado young
 
Kama Afghanistan wanavaa gubigubi wanaficha sura je MISS AFGHANISTAN anapatikanaje?
 
hela anazo kama za bilget

Ahh basi mke keshapata wala asitafute kwengine namtumia A/C yangu sasaivi afanye kweli kuna jumba pale kariako linauzwa mil 900 na ile quality plaza inauzwa ebu aninunulie kwanza ndio ntajua kama anawezaa manake duh lazima nijizimue kwa sura hiyo,halafu mwambie hatufatani kokote wala harusi ya watu wengi staki mie yeye na shahidi pesa ya harusi anichukulie nyumba masaki.
 
Kama Afghanistan wanavaa gubigubi wanaficha sura je MISS AFGHANISTAN anapatikanaje?
Wewe ni mgeni katika ulimwengu wa kiislamu?? Nchi hizo haziruhusu mashindano ya urembo hivyo mambo ya Miss Afghanistan hakuna. Jiulize, mambo ya Miss Tanzania mbona hayafiki Zanzibar? Waweza sema siyo suala la Muungano!! Lakini jee hata wao huko locally umewasikia wakifanya mashindano ya Miss Zanzibar? Umeshawahi ona uniform ya timu ya soccer ya wanawake wa Irani? Ni mchanganyiko wa suruali, gauni refu na hijabu, FIFA wenyewe waliinua mikono!!! Hivyo maadili ya dini ya Kiislamu ni sicttrict sana.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom