Anatafuta mchumba

Anatafuta mchumba

mtoto wa mfugaj

Senior Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
136
Reaction score
29
Kwa wale wanaoenda kwa waganga kutafuta wachumba na kwa wengine wenye nia.mchumba huyo apo
 
Attachments

  • valentine_010.jpg
    valentine_010.jpg
    30.9 KB · Views: 327
niunganishie na mie natafuta mzungu wa kuringishia u turn
 
huh................nkajua mnyama kumbe binadamu,yani utadhani kavaa tshrt nyeusi
 
Huyo akija Tz atapata mke bila kukosa na anaweza hata vunja nyumba ya mtu na kuondoka na mke akimuacha mme analia na watoto. Dada zetu wa KiTz wamelogewa kwa ngozi nyeupe. Hata mzungu awe fukara kiasi gani wao wanaona wameuchinja tu.
 
<br />
<br />
umepatia.
 
Uko sawaa kabisa............................
 
Back
Top Bottom