Anatafuta mchumba kwa gharama yoyote!

Anatafuta mchumba kwa gharama yoyote!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,905
Reaction score
9,334
Mchumba.jpg
Namba zake ni 0713800800
 
Mbona ananikarivisha tigo nikimpigia?
 
Hata unipe na sheli 5 na ghorofa 2 posta! SITAKI!!!
 
Hapo ndio utakapojua watu wanatafuta umaarufu wa kuonekana kwa watu, kwa uhakika ukimchukua huyo una uhakika wa kupunguza idadi mko wangapi!!!
 
Kila shetani na mbuyu wake, kumbukeni hata vichaa kule mjini wanapataga mimba. That mean hata wao wana wapenzi na wachumba consequentially
 
Hajapata tu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
haya bwana...sina mengi....kila shetani na mbuyu wake...
 
hAHAHHAAAA na huo usafiri hapo kando ni wa kwake?? Yuko vizuri sana ngoja nimtafute mtu hapa aje kuonana nae, hivi kweli Little Angel hakufai huyu? Mkubalie bhana ndugu yako nipate huo usafiri. Halafu huo usafiri ni JEEP hio mwanangu, duh
 
Back
Top Bottom