Anatafuta maharage ya kule huyu

Hapo pakuzipunguzia natamani na mimi niwe mmoja wa watunuku[emoji39]
 
Nguruwe haramu ila mchuzi wake unajifanya halali.
Mwanaume Mbaya ila propela shafti lake unalifataga ukilitamani
 
A
Asubiri fainali uzeeni. Anadhani ataendelea kuwa kijana siku zote. In fact, kuzaa ni agizo la Mungu na lina maana kubwa sana hususan kwa maisha ya binadamu. Hata hviyo, naamini anachoandika humu jamvini sicho anachofanya.
 
Heheheheheee kama imepangwa kuwa wewe ni mmoja wa watunuku wa Kasie. ... basi inshallah siku ya siku ikiwadia utatunikiwa.
Kasie.
 
Nguruwe haramu ila mchuzi wake unajifanya halali.
Mwanaume Mbaya ila propela shafti lake unalifataga ukilitamani

Hahahahahhaaa hata wahenga walisema baniani mbaya kiatu chake dawa looh
 
A

Asubiri fainali uzeeni. Anadhani ataendelea kuwa kijana siku zote. In fact, kuzaa ni agizo la Mungu na lina maana kubwa sana hususan kwa maisha ya binadamu. Hata hviyo, naamini anachoandika humu jamvini sicho anachofanya.

Hehehehehehehe nimefurahii
 
Bora uwepo tujilie wote maana ningekukula saa ngapi kama wangekumonopolize[emoji12] [emoji12]
 
Kuwa sinier single haimaanishi unakuwa cha wote though unakuwa sio wa mmoja.

Ongeza bidii unaweza kufanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…