Anatafuta Kipenzi Wake Tanzania

Anatafuta Kipenzi Wake Tanzania

Kuna wimbo waliimba Varda Arts miaka ya 1980s or early 1990s, unaitwa "Bwana Kutoka Amerika".

(Falsetto)
"Bwana kutoka Amerika, amekuja kwetu Afrika
Roho yangu imefurahika,roho yangu imefurahika"

Halafu wanaendeleza majibizano, bwana hajui Kiswahili anataka kujifunza Kiswahili.

Mwisho kabisa wana exchange I love yous, bibi anasema I love you, bwana anasema Ilove you too, bibi anasema "I love you three".

It was such a fun love/comedy song.

Varda Arts walikuwa wahindi fulani watundu sana kwenye creativity kimuziki.

Hii thread ya bwana kutoka Amerika imenikumbusha wimbo wa Varda Arts.

Sijui kama upo Youtube.

Heeey Al-Watan mambo,
Umenikumbusha mbali sana, nyimbo za hawa wahindi zilikuwa nzuri sana. Ntakuwekea hapa kadri ntakazozipata.

Kwa kiasi flani, baadhi ya haiba za Kasie ni kama hawa wahindi.

Oooh sio tumboo sema teemboo oooh temboo hehehehehee

Ooh sio ponda sema pendaa ooh pendaa hahahahhaaa

Daaah umenikumbusha mbali mnoo asante sana.

Tuleteee mrejesho kama uhondo wa simu ni kama ule wenyewe au wa zama zile. Furahia

Kila moja na uhondo wake madam, simu ina utamu wake na ile yenyewe ina utamu wake na jinsi ilivo huwezi kuandika utamu zaidi ya neno utamu hivo ni utamu square bin cubic.

Kasie mahaba.
 
Heeey Al-Watan mambo,
Umenikumbusha mbali sana, nyimbo za hawa wahindi zilikuwa nzuri sana. Ntakuwekea hapa kadri ntakazozipata.

Kwa kiasi flani, baadhi ya haiba za Kasie ni kama hawa wahindi.

Oooh sio tumboo sema teemboo oooh temboo hehehehehee

Ooh sio ponda sema pendaa ooh pendaa hahahahhaaa

Daaah umenikumbusha mbali mnoo asante sana.

Haya mambo kama si muhenga uliyewahi kufukuzana na gari la ugawaji na kuuziwa unga wa muhogo kwa lazima, kwa daftari,kwa foleni za kupanga mawe ofisi ya CCM unaweza kuwa huyajui.

Nimefurahi kukukumbusha mbali.
 
Hahahahahaa umenikumbusha nilishawahi kuibiwa kapu nililiacha kwenye foleni nikisubiria kununua unga na sukari kwenye maroli ya NMC nikaenda sokoni kurudi kapu halipo foleni yangu ndo imepotea na roli lishafika. Sina hamu.....

Unakumbuka kipindi mafuta ya taa yameadimika?
 
Nakumbuka, hatari sana ni hapo miezi 18 ya kufunga mkanda inapogeuka miaka mitano.
 
Nakumbuka, hatari sana ni hapo miezi 18 ya kufunga mkanda inapogeuka miaka mitano.

Aaah acha kabisa, cha muhimu ni kupambana na hiyo mikanda isibane sana ukakosa nafasi ya kupumua.

Haya nashukuru kwa wakati wako na kukumbushana enzi hizo za uhenga wakati huo kulikuwa na biskuti za mihogo na pipi za vigoroli, urembo wa nywele kwa kina dada ni kuweka zazuu au kusuka twende kilioni heheheh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom