Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari zenu nyote,
Haya mwisho wa mwaka ndo huo unawadia asie na mwana aeleke jiwe. Asikudanganye mtu watu wanalalamika tuu ooh pesa hakuna Magu kabana uchumi waapiii nenda sehemu za starehe ndo utajua kama watu wana hela au hawana. Chamuhimu kika mmoja pambana pale ulipo uingize hata hata shilingi 100 kama si laki. Enzi za Kikwete kulikuwa na usemi kuwa LAKI SI PESA. .... sasa kwa utawala wa huyu bwana sijui kama huu usemi bado unatumika au laah.
Rejea kichwa cha habari enzi za Kasinde nikiwa ziarani USA aka America nilikutana na bwana kaka Sean. Sasa juzi kanitumia email kuwa mwisho wa mwaka huu anakuja Tanzania kunifata heheee looh. Tukaanza majibizano hatimaye akashinda yeye hivo hapa natarajia mgeni wangu Sean. Mwenyewe ana shauku huyoo ndo mara yake ya kwanza kuja Tanzania na pia anataka kufatilia kizazi chao tangu enzi za mababu zake. Amepata fununu kuwa asili yao ni Tanzania hivo hilo pia ni lengo lake kubwa la safari pamoja na mie.
Huwezi amini, wakati tunajibizana akaniimbia huu wimbo hadi nikasikia raha nusura kufunga bao nikaishia kulowa tuu huko maeneo looh wacha kabisa maana sauti ilipenya hadi maeneo kuka sisimka.
Kila saa najikuta natabasamu tuu nikiikumbuka sauti yake na mtanange wa mwaka 2014.......
Hivi ndo alivoniimbia japo ji wimbo wa pepe kale ameu - edit basi mahaba mia mia na kufanya niwe Kasie mahaba square bin cubic looh hehehehehee.
Kasinde Kasinde wangu... shikamoo seye seye seyeee
Nimepoteza kipenzi changu hapa Tanzania, nimepoteza mkanda wa kiuno nitarudi nitafutieni icho (sio almasi, sio dhahabu ni ishara ya usajili jina lake Kasinde Kasinde Kasieeeee)
Nimepoteza kipenzi changu hapa Tanzania nimepoteza mkanda wa kiuno nitarudi nitafutieni icho (sio almasi, sio dhahabu ni ishara ya usajili jina lake Kasinde Kasinde Kasieeeeeee)
Nimepoteza mupenzi nchini tanzania×2 (kama kule Arusha sijui, ama kule Morogoro sijui, kama kule Mwanza sijui, kama Darsalame ntafutie nitafutiee.)
Nimepoteza mupenzi nchini tanzania×2 (kama kule Arusha sijui, ama kule Morogoro sijui, kama kule Mwanza sijui, kama Darsalame ntafutiee nitafutiee.)
Kasinde Kasindeee (nitarudi, nitarudii kwa ajili ya Kasie)... (nitarudi, nitarudii kwa ajili ya Kasie)... (nitarudi, nitarudii kwa ajili ya Kasie)... shikamooo...(marahaba) shikamooo...(marahaba) shikamooo...(marahaba) shikamooo...(marahaba) shikamooo...(marahaba) shikamooo...(marahaba) shikamooo...(marahaba) shikamooooo msapheleo ...msapheleo .msapheleo .msapheleo .msapheleo ...pepe kale langili kiboko... hapana chezea Sean hehehehehe
Nnavopenda kuimba na kucheza yaani nikiimbiwa nahorojekajeeee.
Wacha nijiandae kula raha tunaishi mara moja. Kama hujawahi kuimbiwa hasa kwenye simu na sauti ya kiume huwezi kunielewa wala kupata utamu nilioupata aaah hadi najiramba mmmhh.
Jisongi lenyewe ndo hili hapa....
Kasie mahaba.