Anastahili kweli hii post?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anastahili kweli hii post??

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mbimbinho, May 24, 2012.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Mpolisi kafika kituoni amevaa viatu vya rangi tofauti, kimoja cheusi kingine cheupe.
  Afande; Askari kwanini umevaa viatu rangi tofauti? Nyie ndio mnatia aibu jeshi, rudi nyumbani kavae vizuri.
  Baada ya muda mpolisi akarudi amevaa vile vile.

  Afande: Askari mbona umerudi vilevile ?
  Mpolisi: Afande nimefika nyumbani nikakuta hata vile vya nyumbani kimoja cheusi kingine cheupe
   
 2. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huyo atakuwa chizi
   
 3. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,126
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ha askari zuzu
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahahaha dahhhhh.. Huyo askari kachemka kweli.. very funny .. thanks.
   
 5. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,208
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  ASkari Tigo!!network down mwanzo mwisho!!
   
Loading...