Anasema nimuhudumie kila mwezi

Penzi la kununua. Hongera sana.

Ila 20,000 si kitu sema hela huna tu. Kwahiyo bwana mdogo chagua 1 mapenzi au ulie njaa.
 
Soma janja huyo mkimaliza anachukuliwa na jamaa mwenye maisha safi anaolewa(japo inaweza isiwe hvyo).
Usingoje umalize chuo ndio uanzishe kabiashara, anza sasa hata usipoitoa hiyo 20k atakuelewa kwa kuwa ataona kuna kitu unafanya for future.
 
Reactions: aad
Kwani kuwa kwenye mahusiano na kusoma kuna Uhusiano gani mkuu.

Nitadisco au kucarry kwa mambo mengine lakini sio mapenzi.

Ishiri unalialia haya akibeba mimba sindo utachanganyikiwa kabsa. Ww jiwekee kila mwenzi elfu tano unakula mzigo mara moja.kwanza chuoni wapo wengi tu wanatoamizigo bure.tatizo lako unataka viwangoo ndio maana unadaiwa na ada za mwenzi
 
Reactions: aad
kaa 20000 kila mwez demu gan wa bei rahisi ivo! shukuru huyo anakuhurumia na ww
 
Tafuta mwanamke wa kawaida tu tena wala ambao sura ni mbovu ndio wanakuaga moto uko chini na bado utaichoi penzi alafu tumia kinga au msome kalenda acha UBOYA ww
 
Dogo hiyo 20,000 kakusaidia sana. Kwa changudoa hiyo ni bei ya bao moja tu lakini wewe mwezi mzima unakojoa kwa 20,000 tu. Nakushauri toa haraka sana bila hata kukumbushwa kabla hujaachwa. Ukiachwa kwa mwezi utakuwa unatumia 200,000 na hutashiba maana utakuwa unapewa kwa kupimiwa.
 
Acha nguvu zote nihamishe kwenye kitabu sasa na kusaka hizo pesa, simtafuti tena maana kasema "nisipompa hiyo hela hamna mapenzi"

Apo ujue tayari kambi ishavamiwa vinaanza vijisababu. Naamini ulikua unajiongeza kama kidume kumhudumia japo kidogo.
 
Reactions: aad

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…