Anasema Dinner hawezi Kuja Labda nim...

kuna watu wagumu jamani,
 
kama sio mbali si ungempelekea tu jamani, mwenzio aliamsha adi vidonda vya tumbo
 
kama sio mbali si ungempelekea tu jamani, mwenzio aliamsha adi vidonda vya tumbo
Hapo kashanisumbua sana plus vizinga, siku hiyo alitoa ahadi ambayo hakuitekeleza nikaona kuliko niendelee kumfaidisha bora nile mwenyewe. Aliamsha vidonda vya tumbo kwa sababu alikula dagaa na kukosa nilivyokua nimemuandalia hakumfanyia aumwe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Umetisha sana boss
 
...Jingazz Mkubwa Huyo !... Bora Ulivyoamua !....
 
Hapo ni sawa na umewalisha washikaji zako makombo mana hukuandaa kwa ajili yao.

Kwa huyo demu ingetakiwa uhitimishe kwa kumwambia sema kama huji ili mimi niendelee na mambo yangu [emoji23]
Daaaah mwamba hizi kauli tulikuwa tunatumia sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…