Anasema ananipenda ila ana mtu

Hahahaha ujue inategemea huyo mwanaume anakuonaje...akikuona umekaa kujiuza uza basi atakupa condition kama za mzabzab, ila akikuona innocent na mtu mwenye misimamo na maisha yake mbona atazitoa tu hadi mwanamke mwenyewe aone aibu

Ni kweli, wanaume wanasoma namba kwanza..
 

kazi kweli kweli wengine wanalilia usawa wengine wanataka kuonekana dhaifu. kweli mwanamke ni kiumbe dhaifu hata smile anajua hilo. hata wakiwezeshwa bado hawawezi.
 
Kuna mahali umekosea
ameshindwa kukusoma

asingekubali muende out kama hakukuwa na nafasi ya wewe kumpata
nafasi ilikuwepo,ila kuna kitu umeharibu

unaweza kukuta hata mtu hana

Yaani kuna kaka alikuwa anaziingiza kwangu, katika kufahamiana nikamuuliza ulisoma wapi, ulichukuwa combi gani, alinijibu amesoma HGL, Tabora Boys. Jana ndiyo ameniambia baada ya form four alisoma Chang'ombe Veta then Chuo Cha Ufundi. Ile kunidanganya imeshaniput off.
 
Reactions: Aza
ila Smile kiukweli uwa unaniwacha hoi aseee una maneno hatari sana...nimecheka apa usiku wote huu adi nimetolewa mbio room
 
Last edited by a moderator:

Lakini kakuGegeda au hajakuGegeda?
 


Msaidie tu jamaa we kuwa Kidumu jamaa awe Ndoo. Bt take care usiuze mechi tumia Condom.
 
Hahaha watu wanaliwa mpaka milioni 7 na hiyo kitu hawapati....chezeya watoto wa dotcom wewe

wee hao sio wanaume wa kweli bwana...mie demu namwambia kabisa urafiki na demu sinaga na pia ukikaa chini ule vya kwangu ujiandae kutoa papuchi...mapema nakwambia ukweli so kama wajijua wewe sio mtoaji papuchi huwezi kula vya kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…