Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Kijana utaweza hudumia familia yake ? Kama huwez acha aendekee kua na mume wa MTU anae provide
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee amuache tu. Asije jibebesha mzigo mzito. Kama.ana upendo wa AGAPE aendelee.Kijana utaweza hudumia familia yake ? Kama huwez acha aendekee kua na mume wa MTU anae provide
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point lakini hiyo sababu aliyosema huyo mwanadada ni uongo. Hapo unaweza kuta anaishi peke yake na hana hao ndugu anaosema. He is perfect real golddigger na kampata mtu wa mkoani.unajua tena siai wa mikoani tukiopoa watoto wa jiji tunaona kama.Upekee wa wanaume anapoamua kumpenda mwanamke kwelikweli. Huwa haijalishi niwapi amemkuta , atamwamin utadhan wamejuana miaka kadhaa ilopita
Shida nihuyo alochaguliwa kuaminika ....
Tatizo haya mambo, ukishayathibitisha huwa yanabaki kuzunguka zunguka kichwan na kuondoa Amani.
Humchukua Mwanaume Jasiri sana kuendelea kupenda kwa kipimo kile kile , na anayeweza hapa, ataweza hata kuishi na mdada mwenye mtoto.
Anyway ,unamsamehe ndio, lkn shida atafanyaje umuamin ? ( inabaki ni imani tu).
Unamsamehe, lkn je shida anazozisemea kwao zimeisha ??.
Aya, akiamua kua anakushirikisha shida zake, je utazitatua ? Au wee kumpa pesa ni pale utakapokua unakutana naye tu siku hiyo unakula mzigo nandipo unampa naela ??.....ataishije sasa ???.
Mambo ni Mengi sana, na mambo yana changanya sana..
Ila mwisho, Hamnaga sababu ya kuhalalisha MTU KUCHEPUKA ,haipo haipo haipo..... Kwann usiombe mtaji?...
Mtoa mada Fanya kitu kimoja, wakati Fulani ni ngumu, Ila ukweli nikwamba kuna baadhi ya watu wakiomba msamaha humaanisha , embu mpe nafasi nyingine, na wewe sasa JITAHIDI KADIRI ya uwezo wako ,umwondelee "Ushawishi anaoupata" ili asiseme "Nilichepuka sababu ya kitu Fulani ".... ikiwezekana na ujitambulishe .
Kuna watu ni wachepukaji hodari hao nahautakaa ujue !.
Sent using Jamii Forums mobile app
We acha tu hali ya kitanzania ni mbaya sana. Kuna mwanadada anajiuza hapa na pale na ana kipato kikubwa tu kwa kuuza nyapu. Na anapendwa sana kwenye familia yake maana ndiye tegemeo. Baba yake anampenda mno. Anatoka wakati wowote kwenda usiku kwa wanauma au kurudi amelewa nyang'ayang'a. Lakini ndio tegemeo la wote na wadogo zake anawasomesha yeyena ada analipa, kodi ya nyumba na chakula everything.Familia zetu hizi daah, watu wanamtegemea mtu asiye na kipato wanategemea pesa akachukue wapi? Umasikini mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaUmekutana naye mtandaoni mmekwaruzana mtandaoni,,,ushauri wangu msamehe mtandaoni ukamtambulishe kwenu kimtandaoni
Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
Umeongea point lakini hiyo sababu aliyosema huyo mwanadada ni uongo. Hapo unaweza kuta anaishi peke yake na hana hao ndugu anaosema. He is perfect real golddigger na kampata mtu wa mkoani.unajua tena siai wa mikoani tukiopoa watoto wa jiji tunaona kama.
tumeokota malaika.




Teh huyo dada naye fala mie mtu ukiniambia umenihack na umekuta sijui nachat na nani nakana hadi unioneshe ushahidi wa kueleweka