Tunakodisha Bunduki
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 822
- 1,279
Mkuu nimeingia na gia ya kuowakomaa naye tu ila uoneshe nia kuwa kweli unampenda, hao viumbe sometimes wanapima kama kweli una upendo wa dhati au ni tamaa ya mda! au ulingia na gia ya kutaka papuchi tu??
utamuoa kweli au unamdanganya ili umchungulie tu binti wa watuMkuu nimeingia na gia ya kuowa
Mkuu akitulia ntamfikiria ...eti anataka tubaki marafikiutamuoa kweli au unamdanganya ili umchungulie tu binti wa watu
acha tu aendelee kukunyima haumfai ww aendelee tu na mtu wake kama kweli anayeMkuu akitulia ntamfikiria ...eti anataka tubaki marafiki
Mkuu akitulia ntamfikiria ...eti anataka tubaki marafiki
Mkuu iv nyie huwa mpo single?Kashakwambia ana mtu unamsumbua wa nini
Mweh kwa nnMkuu iv nyie huwa mpo single?
Asante sana mkuu we ni mmoja ya watu ninao wakubali humu jukwaani stay blessed broTumia huo urafiki kumuonyesha kama anastahili kuwa na wewe, na sio mshkaji. Pia una nafasi kubwa ya kupata rebound shows kupitia urafiki.
Asante sana mkuu we ni mmoja ya watu ninao wakubali humu jukwaani stay blessed bro
Mkuu hebu toa maoni kuhusu mada tajwa hapo juu ...kuhusu bunduki njooNi kweli unakodisha bunduki? au ni ID tu?
Kama ni mechi za mchangani kigezo cha urafiki kinatosha kabisa kumtia zizini. Ila kama una malengo nae hakufai kwani ipo siku atakuja kukuacha kwa ajili ya mtu mwingine ambae ni bora zaidi yako kama ambavyo atamuacha mtu wake wa sasa ili awe na wewe.HASHINDWIHabar wana MMU
Jana kuna kamanzi nilikatupia maneno ya moyoni kuwa nakapenda sasa kila nikiweka kanaruka viunzi eti kanadai kuwa kako na mtu tayari. Swali linakuja, hivi nikionana nako naweza badili msimamo wake kweli au kama kuna mbinu nyingine naomba nijuzwe.