Kwa hali ya uchumi ilivyo, kulikuwa na haja ya ku-allocate fund kusherehekea miaka 50 ya taabu,mgao wa umeme usioisha,ufisadi,njaa,ujinga,maradhi ,ukosefu wa ajira n.k ?
Kwa nini viongozi wetu wasingewahurumia wapiga kura hata wawanunulie vifaa vya tiba tu kuliko kutumbua hela kuwalipa mapacha 3 na makhirikhiri.
Ni dhihaka kubwa kupokea msaada wa mashine ya upasuaji yenye thamani ya mil 47 kutoka barrick kwa hospitali ya mkoa wa mara wakati serikali ikitumbua mamilioni pasipo sababu za msingi.
Mkuu, budget za sherehe kila wizara ukiziona unzweza ukalia machozi.hivi hata kulikuwa na bajeti ya hizi sherehe kila wizara?
Bado kutakuwa na uchaguzi wa CCM mwakani....pesa zitazidi kuteketea.....nadhani.....haya matumizi makubwa pesa kwa miaka mitatu mfululizo (2010-uchaguzi; 2011-sherehe za miaka 50; 2012-uchaguzi CCM) yatatumaliza wana wanchi.Ukweli ni kwamba, hapa ndipo CCM wanapochukua hela ya kampeni mwaka 2015....wanaona hali itakuwa mbaya huko mbeleni, so hela ya bure kabisa ni hii ya UHURU.
Inauma sana.
Umenene ,tumekusikiatatizo mkiambiwa nchi ina matatizo mnafikiria tu matokeo ya matatizo (kama mgao wa umeme, ajari, shilling kushuka, uchakachuaji uchaguzi nk) lakini mnashindwa kufikiria juu ya tatizo mama ambalo ni UTAWALA na WATAWALA
Ajabu na kweli.Ajabu ni kwamba tunasheherekea kile ambacho tumeshindwa kutimiza yaani kuwawezesha watanzania kufurahia "matunda ya uhuru"
Kuna bango kubwa sana la wizara ya afya pale mitaa ya shopperz plaza........linaonyesa dispensary mbili na linasema tumejaribu na tumeweza........
Kumanina walahi, linanitia hasira lile bango we acha tu!! vituo vya afya hakuna dawa, havina wahudumu wa afya, wahudumu hawana nyumba...mama mjamzito anaambiwa aende hospitali na gloves na pamba zake mwenyewe, halafu wizara inatumia zaidi ya 60m kuweka bango la kishenzishenzi tu!!
afadhali hata wangeweka ujumbe wa AFYA...hata kuwahamasisha wakina mama wajawazito waende clinic kwa wakati basi, ....CCM na serikali yake washenzi wote.