Anapost status WhatsApp lakini hajibu text yako

Anapost status WhatsApp lakini hajibu text yako

Daaaah ndoivo mkuu mwenyew kuna manzi nimempa hi tu hata kujibu SMS hatak sokwamb namtaka but alikuwa mdau wangu sana hapo nyuma skuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, ndio binadamu hao. Shida zake zishaisha now anakuona boya. Hawa ndio hufanya watu wawe na mioyo migumu ya kusaidia.
ahsante mkuu,kweli kabisa mimi saivi nimekuwa na moyo mgumu kusaidia maana nimesaidia watu wengi sana kwa kidogo nilichokua nacho tena mara nyingi nimekosa pesa ya chakula kisa nimesaidia watu ila hawana shukrani ,mtu anani blue tick kabisa
 
Hahahahh Mkuu Kuna Jamaa angu Kun Siku nilikutana nae Nikamuuliza Bobu Vipi Mbona hujibu Meseji.
Akaniambia Ana WhatsApp groups 58 ana contact WhatsApp kama Mia nane hivi (800) Ukimtext sahivi baada ya dk 3 unaweza kuta Li-meseji Lako liko chini huko unaeza kuta ata Ni limeseji la 30 chini huko. So atakusahau tuu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Ngoja Nimuombe Screenshot Nitume
Naenda Lakini najua hatojibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ahsante mkuu,kweli kabisa mimi saivi nimekuwa na moyo mgumu kusaidia maana nimesaidia watu wengi sana kwa kidogo nilichokua nacho tena mara nyingi nimekosa pesa ya chakula kisa nimesaidia watu ila hawana shukrani ,mtu anani blue tick kabisa
Inauma ila ndio hivyo hamna namna. Mie kila siku najiapiza ila ikitokea mtu ana shida najikuta nishamsaidia tena basi taabu tupu.
 
Back
Top Bottom