Anapost picha yuko na best man

Anapost picha yuko na best man

LDA COMPANY

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
340
Reaction score
633
habari ndugu zangu.

Nina binti nampenda sana na nina mpango wa kuishi nae kama mke wangu. Ila mimi na yeye tupo kwenye long distance relationship. Sasa juzi kaenda kwenye sherehe ya dada ake ya engagement.

Ambacho sijaelewa anakaa anapost picha na mojawapo ni ya best man na yeye wako pamoja anaandika caption za kusifia na kaipost mara ya pili sasa. Nashindwa hata nimkataze vipi ndugu zanguni naombeni ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawewe post ukiwa na mwanamke mwingine,halafu kaa kimya,akikuuliza ndio hapo utakapoanzisha mada na kumueleza nini unataka na nini hutaki kuhusu hizo picha.
 
habari ndugu zangu.

Nina binti nampenda sana na nina mpango wa kuishi nae kama mke wangu. Ila mimi na yeye tupo kwenye long distance relationship. Sasa juzi kaenda kwenye sherehe ya dada ake ya engagement.

Ambacho sijaelewa anakaa anapost picha na mojawapo ni ya best man na yeye wako pamoja anaandika caption za kusifia na kaipost mara ya pili sasa. Nashindwa hata nimkataze vipi ndugu zanguni naombeni ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
Washa kiberiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom