Anapokataa kutumia condoms

Gajungi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
257
83
Habari zenu wanajamvi.
Nikiwa kwenye harakati za kuingia tz nimejihakikishia kimwana cha ukweli lakini katka kuchat akadai hatai nitumie condoms eti ananipenda sana. Kasema anakubali kupima lakini hakubali kutumia condoms. Sijawahi kuwa na mbongo lakini nilipo bila condoms wakati mnaanza mahusiano hupati kitu. Je hii imekaaje wakuu maana kwa maambukizi yalivyo inawezekanaje mtu aniamini?Naye ana mtu anaishi naye lakini anadai wana shida so anambwaga. Naomba kujua kwa nini wanawake wetu hawapendi mipira?

Asante.
 
Bado siku si nyingi. Akitokea mwingine ndo basi tena.Cha ajabu jamaa yake ana michepuo mingi ile mbaya.
 
hahahahahaha@usiolinda mali anajitafutia mwenyewe,shauri yako.


Wakati mchepuko unazingua hadi najisikia kuomba ushauri njia kuu.......maneno ya khanga.
 
Lakini kwa nn wanawake wana hii kasumba wakuu maana si mara ya kwanza kulisikia hili.
 
Anadai hataki mimba hadi 2020.Hii imewahi kunitokea kabla,yupo mmoja hapa tulishakubaliana tuende geto ila mishe zilitinga lakini baadaye nikasikia ni mgonjwa kumuuliza akaniambia ana ugonjwa flani wa figo kumbe ana hepatitis C amabyo 85% wanakuwa na cancer in 15 years.Nilichokaaa nikampotezea kimyaaa
 
Gajungi me nilijua ni mwanamke unae mtaka kwa maisha ya baadae kumbe ni mke/mpenz wa mtu na wanaish wote?????

Umekiri jamaa yake anamichepuko ming na unahakika akirud kwake anatumia kinga na km hatumii vp kuhusu anako zurura?

Ww ni mwanaume nakushaur tuliza akili,tafuta wako asie na mtu yeyote mpime afya na hofu ya MUNGU iwatawale.

Kwann utembee na mke wa mtu afu anakulaghai kirahic et nakupenda sana sitaki condom ww nduguyang kweli???

HEKIMA YA MUNGU IKUONGOZE KM UNALOTAKA KULIFANYA NI SAHIHI
 
Bado siku si nyingi. Akitokea mwingine ndo basi tena.Cha ajabu jamaa yake ana michepuo mingi ile mbaya.
Unatoka kijiji gani,sasa weye unaleta uzi wa KINYAMBAAAF halafu eti unataka watu wakuelimishe,na hilo shimo kwenye Avatar yako ni lako au,CHIBUKU WAHEDI WEEE.
 
duu huyu mwanamke nilimwacha ila nilitaka nimrudishe maana kweli hawatafika mbali.Lakini nawashukuru kwa ushauri.Kwa wale wenye maneno makali naona hapasi mahali pake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom