Wadau habari zenu,
Maisha yana changamoto nyingi, na hizo changamoto zimegawanyika katika namna mbali mbali moja wapo ikiwa ni mapenzi. Nipo na mpenzi ambae kimsingi sijatoka hatuna muda mrefu katika' na kwa kadri siku zinavyokwenda nimekuwa nikigundua tabia zake ambazo ni "under carpet " kwa maana ya kwamba, bila kumjua huwezi vijua.
Jana nilitoka nae Out after work mitaa flani hivi mjini Posta, baada ya Dinner tukashauriana twende Disko, huko tukafika na nikaagiza vinywaji, baadae tukaanza cheza mziki, huku pia tukishangaa na kufurahi namna watu walivyokuwa busy wakiserebuka.
Baada ya kucheza sana mpaka kulowa jasho, tukalazimika kutafuta mahala pa ku chill ili tupoe, sasa ghafla akamuona msanii flani wa music kutoka pande za Arusha kutoka katika lile kundi la weusi.
Kwanza alihamaki, huku akionekana kama kuchanganyikiwa hivi, akaniomba apuge nae picha, nikamwambia atulie aache pupa. Kidogo jamaa akainuka na kutoka nje,hatuja kaa sawa, akamuona mtangazaji wa Kike wa Clouds TV, akaanza tena kuni lilia apige nae picha. Sasa na mimi nikawaza nikaona humu ladha ya mziki sasa hivi inakwisha.So nikakubali.
Kwakutumia Camera yangu, nikawapiga picha, ile tunamaliza akamuona Msanii mwingine tena wa kiume mbae anamiliki bendi yake mwenyewe, akanililia apige nae picha, Dah! nikasema sawa, nikamfuata jamaa nikamwambia, mshkaji akakubali nikawapiga picha.
Tunamaliza huyo yule wa weusi akawa nae anarudi, alipomuona tuu akaanza tena kulia lia anataka apige nae picha, ikabidi tena nimfuate jamaa, body guard akanizuia kabla sijaondoka, yule msanii akaniuliza nina shida gani, nikamwambia mpenzi wangu anaomba apige nae picha, bila hiyana jamaa akakubali, kama kawa nikatoa simu yangu nikawapiga picha.
Kisha zile Picha nikamrushia Mchumba kwa whatsapp yake.Sasa baadae, ktk kuwaza kwangu nikawa najiuliza, is this Normal? Or a Threat? Kuruhusu kupiga nao picha was it fine ama nilikosea?
Ni Utoto, ama ni tatizo ambalo natakiwa kulichukulia tahadhari mapema? Mpaka sasa hakuwahi nipa sababu yeyote ya kumhisi msaliti.ILa kitendo cha yeye kuwashobokea mastaa wa bongo kiasi alichoonesha jana, Kimenifanya nihisi kuna mengi anayatamani ama ni mawazo tuu yangu mabovu nyie ndio washauri wangu.
Naombeni mnishauri ama mnisaidie kumuelewa mpenzi wangu kwa experiance zenu
Asante