Anapenda kunyonya nimeweka plasta analia akiiona

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,957
Reaction score
8,005
Nimeweka plasta kwenye ziwa ili mtoto asinyonye maana anapenda kunyonya natka aache
 
Hiyo ndio dawa wanangu wote waliacha kwa njia hiyo ila anapolia inabidi umwambie kuwa hiyo ni dudu akishajua kuwa hiyo ni mdudu ataogopa kunyonya ni njia nzuri sana
 
Nimeipenda hiyo staili
 
Mwache anyonye ziwa la mama labda tu iwe unataka kumwachisha ziwa hapo sawa
 
Akiiona plasta mwambie umeumia panauma. Yani unafanya kama kuna kidonda.
 
Hiyo ndio dawa wanangu wote waliacha kwa njia hiyo ila anapolia inabidi umwambie kuwa hiyo ni dudu akishajua kuwa hiyo ni mdudu ataogopa kunyonya ni njia nzuri sana
Kweli umefarijika, Lakini katka umri huo kumtisha mtoto ni kosa "maana unapandikiza hofu na kumduwaza ataogopa na kuwa muoga" tafuta mbadala !! mara nyingi watoto walojengwa kwa vitisho......... siyo vizuri !!
 
Hivi si walisema humu watoto wanaonyonya muda mrefu wanakuwa majiniasi...au?
 
Na sisi wakina baba itatubidi tubandike plasta ili wakina mama muache kunyonya.........
 
Back
Top Bottom