Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
natamani kuextend ushemd
Hahahaha sitaki kushuhudia wakiku ufoosaro mie
natamani kuextend ushemd
Kumbe Honey Faith Ni shemu. mmh nimekomea hapo.
nilipoona neno "kupwelepwetwa" mapingo ya moyo yakabindili mwendo, maana ninajua wazi mpelepeti akafika kwangu lazima aje apelepetwe tu.
Kumbe Honey Faith Ni shemu. mmh nimekomea hapo.
Hahahaha sitaki kushuhudia wakiku ufoosaro mie
Kwani yeye alikuambia yupo single???
Haya bwana
Ukikuta embe zuri limeanguka kwenye muembe utasubiri kuuliza huu mwembe wa nani? si utakuwa mwehu.
Hamuoni kama anapanda huyo...!.
You are right binam angu mie...!
Kumbe Honey Faith Ni shemu. mmh nimekomea hapo.
Ntuzu si #teambazazi yule umetoka naye wapi?
He is my dearest brother so ukimuongelea vibaya ni kama umenisema mie.Nakuomba ufute kauli
Kapigwa beet na mumewe maana vijana walizidi kumfatilia sana
Thank you!!!