Anapanda juu au amelala chini?

Anapanda juu au amelala chini?

NDUKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
3,439
Reaction score
2,453
Rock-Climbing-Optical-Illusion.jpg
 
Amelala chini,lkn amepoz kama anapanda na picha imegeuzwa ili aonekane kama anapanda!!
 
amelala chin iyo position ya camera man ndo imemfanya aonekane kma anapandaa mahali
 
Si unaona miguu inaning'inia mkuu halaf chini kuleeeeeee...!.

Ukipata mpiga picha mzuri unaeza fanya picha ione hvyo.
Ukilalia tumbo ukinyanyua mikono na miguu only tumbo liwe chini

Inabaki kazi ya mpiga picha tu
 
Ukipata mpiga picha mzuri unaeza fanya picha ione hvyo.
Ukilalia tumbo ukinyanyua mikono na miguu only tumbo liwe chini

Inabaki kazi ya mpiga picha tu

Hahahaaaa...!.
 
Back
Top Bottom