Nna rafiki yangu wa muda mrefu ambae alizaa na mume wa mtu ila hawajafunga ndoa, jamaa amempangia nyumba na anampa mahitaji yote ya mtoto km chakula, medical, kulipa bills ila hataki kuwa involved na mambo ya mwanamke km hela ya saluni, sijui fuel ya gari, au hata nguo za mwanamke ilhali anajua mwanamke ni mama wa nyumbani and jobless, mwanzoni mwa mapenzi yao mwanaume alikuwa katulia baada tu ya mtoto kuzaliwa shida zikaanza, anakuwa anathamini ulevi na wanawake wengine, mwanamke akimkuta bar mara kuna bills za vocha za mtandao asiotumia yy, mara ana bills za bia za kina dada na wakati washkaji alioko nao wanakunywa bia tofauti na kwenye bills!
Wakienda mziki mwanadada akiwa anacheza mara wanawake wanamzunguka jamaa, mwanamke wake akirudi na kumuuliza hao wanawake wanaondoka ni kina nani anasema hawajui wakati alikuwa anapiga nao story, bs shoga yangu akaamua kuacha kuambatana nae kokote jamaa akawa akisikia nyege ndo anamtafuta bi dada tofauti na hapo hamna mawasiliano, na jamaa nyumbani kwake na mkewe ni ugomvi kila siku, jamaa akawa ss analala kwa bidada siku moja in a week na kila akija anakuwa kalewa chakari anapanda na viatu kitandani na vichupa vya pombe kali chini ya mto! Na pia anakojoa kitandani na akiulizwa anasema ni presha wakati ukweli ni ulevi!
Siku moja akampigia bi dada simu sa tano usiku akiwa kalewa akawa anataka aende kwake bi dada alikuwa kashalala na hasikii simu, jamaa kaamua kumpa live kuwa atapata mwanamke mwingine atakayemjali na kupokea simu zake, na pia atafute mtu wa kumlipia kodi ya nyumba hasa hao anaoshinda nao, na akamwambia amweleze ni jinsi gani anaweza kutunza mtoto wake ila yy amechoka kubembeleza, na kweli jamaa toka atume hizo msg akakaa kimya mpaka kodi imeisha, dada wa watu ndugu zake wakamlipia kodi na kumwambia atafute biashara apewe mtaji hawataki kumsikia huyo mwanaume maana miaka yote mitano anateseka tu kukojolewa kitandani, mara anamfanya yy ni kwa ajili ya sex tu, anamfanyia alimradi viroja vya kila aina! Wiki tatu baada ya kodi kulipwa yule jamaa akaenda club usiku na ina vijana ilhali yy ni mzee wa miaka 60, kufika kule mashoga si tunamfahamu huyu ni mzazi mwenzie shoga yetu?
Bs tukamsalimu mara kuna kischana kilikuwa pembeni kikauliza huyu ni ......... Yupi maana nimezaa na mtu mwenye jina hilo, tukamuuliza ni nani akasema jina la aliezaa nae tukamwambia bs huyu ni bb yake! Haaaaaaaa, binti hakulaza damu si akaenda kuanza kumshikashika yule mzee, mpapase, washikane ------ mwisho wakaondoka wote, usiku ule, sie yetu macho mtu na mkwe wake wameondoka wamekumbatiana, ikabidi kesho yake tumtaarifu shoga yetu!
Jamaa anaomba samahani, mara oh nitakurudishia kodi yako nisamehe sikujua blah blah nyingi jamani hebu tunaomba mchango wa mawazo maana huyu jamaa anasema atajirekebisha ila tabia zake ndo hizo, itakuwaje hapo? Kwa ufupi shoga yetu kang'ang'ana hamtaki tena maana kashamdalilisha mara nyingi na mambo yake na wanawake zake! Anachotaka ni jamaa alee mwanae tu! Je imekaaje hiyo?