Anaomba msamaha na kuomba 'last chance'. Is he worth it?

Anaomba msamaha na kuomba 'last chance'. Is he worth it?

Mi nimeelewa akatembea na binti aliyezaa na mwanaye wa kiume...
nadhani kuna laana huko kwenye hiyo familia.

BACK TO TOPIC:
Wewe dada kamshauri mwenzio aokoke...na wewe pia! hivi mashoga gani nyie badala ya kumwambia kuwa aachane na mume wa mtu nyie mnamshauri amsamehe! kama nani...dah nimeudhika sana na thread hii!!!!

my dear...unadhani mwanamke wa aina hii atakuwa na mashosti wa aina gani? Usishangae
 
Tuwashauri nini wakati tayari post yako ina majibu kwanza MNAMTUKANA MZEE WA WATU, PILI MNATOA SIRI ZA NDANI KWAMBA NI KIKOJOZI, halafu wote hamna heshima kwani huyu ni mume wa mtu... MALAYA WAKUBWA NYIE...

Nimedandia treni kwa mbele....

Unadhani huyo mume wa mtu sio malaya?
Unadhani anajiheshimu?
Unadhani anaheshimu ndoa yake? Kimbuka katembea na mtoto wa kaka yake sijui?
 
nimedandia treni kwa mbele....

Unadhani huyo mume wa mtu sio malaya?
Unadhani anajiheshimu?
Unadhani anaheshimu ndoa yake? Kimbuka katembea na mtoto wa kaka yake sijui?
nASHUKURU SANA NA MASWALI MAZURI, lakini ameshakosea na sisi bado tuendelee kuwashauri hawa wakosee, after all huu ni upande mmoja umetoa haya na nadhani ni MAJUNGU zaidi ndg YANGU kutoka kwa hawa waliokuwa wanamchuna MUME WA MTU. Sasa tushirikiane kukomesha yote haya NA UKIMWA HUU JAMANI HAMUOGOPI TENA NYAMA NYAMA...
 
alizaa na mume wa mtu...
Mume mwenyewe kikojozi
kampangia chumba
akamtema bi dada
then mwanaume akatembea na ndugu wa bi dada
sasa hivi mwanaume amerudi kuomba msamaha ndo anaomba ushauri....tumshauri aendelee na zambi zao au aheshimu ndoa ya watu?

Ahsante kwa kunielewesha..tukimshauri aendelee tutakuwa tunakosea..aheshimu ndoa ya mwanamke mwenzie atafute wa kwake..au afikirie kujitwalia majukumu yake na mtoto yeye mwenyewe.
 
Ahsante kazi ni pale jamaa ni muislam na ndugu walitaka akae na bi mdogo na ndoa za kiislamu zinaeleweka na ushauri kwenye mapenzi sa ingine unajitengenezea chuki bora humu watu hawajuani anaposoma anachuja mwenyewe!


Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
mwambie aachane naye mwenye tabia aachi asili yake kwanza kila cku kulalia kojo la m2 mzm watapata na magonjwa mengine wacyo yajua haswa mtoto.
 
Mie leo ngoja nipite tu...ila wewe na mwenzako mrudieni Mungu acheni kuwa viruka njia.
 
Back
Top Bottom