Ananizidi umri na fedha, nifanyeje anipende?

Uko chuo cha mapenzi na mmepewa homework au? Maana kama ungekuwa chuo kwa kutumia akili yako nadhani ungeshajua jukwaa linakushauri nini. Acha tamaa ya fedha na ngono. Elimu/ujuzh ndiyo msingi wako siyo mapenzi ndugu
 
Shika sana elimu usimuache aende zake......

Ikimbieni zinaa....

huyu mtoto anapepo kaka maana anaambiwa akazanie elimu yeye anakazania ushauri wa uasherati. Nadhani huku hapamfai labda aende kule kwa watoto facebook
 
Back
Top Bottom