Ananitatiza huyu mwenzangu

TihZ

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
158
Reaction score
26
Nina girlfriend wangu nilipotezana naye tangu mwaka 2007 kwa msaada wa social network nikaonana naye mwaka huu mwanzoni baada ya kuwasiliana naye kwa muda nikamwelezea hisia zangu akanielewa ila tatizo inaonekana mchango wake ni finyu katika penzi letu hata kuwasiliana mpaka nimuanze mimi saa nyingine huwa navumilia labda atabadilika ila naona yupo vile vile tatizo silielewi ni kwamba alikubali kuwa kisa tulifahamiana kitambo au basi tu ananitatiza mwenzangu
 
May be ana mtu mwingine ndio maana hatoi ushirikiano wa kutosha...........

yeye umewahi kuongea nae kuhusu tabia yake............
 
Umejaribu kuongea naye kuhusu haya uliyotueleza?
 
Jaribu kuongea naye kwa undani
Huenda ana mtu ambaye moyo wake umezama na sio wewe.
 
Alikubali kwa mdomo, ila moyo haujasema ndio. If you are fighter, make her heart say yes.
Shukrani ndugu kwa kunipa moyo nitajitahidi hilo
 
Umejaribu kuongea naye kuhusu haya uliyotueleza?

Nilishafanya hilo ndugu na nikaamini atabadilika ila najitahidi kuwa na subira lakini naona hakuna mabadiliko
 
Jaribu kuongea naye kwa undani
Huenda ana mtu ambaye moyo wake umezama na sio wewe.

Nilishazungumza naye kuhusu hilo na akaniambia alishaachana naye kitambo
 
MOve on ma nigga....alikubali kama back up plan tu lakini huo muda mlioppotezana mengi yametukia keshafika mpaka kigoma ww bado upo kimara....just let it go....
 

sasa mkuu kupoteana tokea 2007 unategemea awe alikua hana mtu???ana mtu wake sasa we unataka kuingilia kati
 
Nilishafanya hilo ndugu na nikaamini atabadilika ila najitahidi kuwa na subira lakini naona hakuna mabadiliko

Endelea kusubiri...kila jambo lina wakati ufaao
 

Hayatuhusu. This is your private business
 
Usipoteze muda wako kka, ana mtu wake huyo na anampenda ila mchizi dizaini ka anamzingua ndo mana akakukubalia naww coz mlikuwaga ktambo so la msingi labda mkomalie hta upige 1tym af sepa tu!
 
watu wengine mnajua kupasha moto viporo...... matokeo yake ndo hayo
 
huyo ana mfumo jike...funguka
 
..hauwezi kuwa na mwanamke wewe..
Hata kuandika hujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…