Ananisumbua...!!

Mapenzi yanatesa jamani, pole sana! Ita watu wako wa karibu pamoja na huyo ex wako pamoja na mumewe mkae kikao na kuwaambia msimamo wako. Dhamiria na maanisha kwenye yale utakayozungumza. Uwe na msimamo thabiti huyo dada asikuharibie maisha yako mapya. Loh!
 
mtafute huyo jibaba then mweleze ukweli kuwa huyo mkewe alikuwa zilipendwa kwa sasa wewe una mkeo. atakuelewa tu bila shaka
 
usiniambie madam, mbona huo ni wimbo wa bongo fleva.
Ndokyo, Mlali hakuna cha bongo fleva wala nini! tumekaa rural zaidi, nyimbo za kiutamaduni tu! lol
BTW asante kwa kutoa ile avatar, ilikua inanichefua sana wakati nasoma post zako (which I enjoy)
 
akipiga mpe mkeo amalize mchezo.

Kuna wanawake wengine wanajua kutukana i see mie simshauri ampe wife mtarajiwa simu kuongea maana inaonekana huyo dada amepinda ,Mtarajiwa anaweza kushindwa handle maneno ya huyo bi dada ,atafute tu namna ya kusolve hili jambo
 
ni kweli usemacho..isitoshe wife wangu hapndi kabisa mambo ya kujibizana na watu kwa ishu kama hizi..(nilishawahi kumwambia aongee nae akakataa )...nashukuru Mungu mke wangu ni muelewa na isitoshe huyo mdada najua kashachoka saiz maana ameona kila anachofanya mi ndo kwanza niko bize na wife, so nahisi kaamua kubwaga manyanga na huyo mshikaji wake naye kimya..the best way i learnt ya kuepuka matatizo haya ni just kum ignore the person you see is causing problem..atajiona mjinga ataacha tu...thats what happened!!
 
Napenda nikujulishe kuwa usidhani mkeo hapendi kujibizana na huyo X wako,
Mkeo ana busara sana na kwa vile hiyo ishu ni yako kiungwana ni kukuachia uimalize mwenyewe na si kukurupuka kuidandia,
Nakuomba play role yako km mume na umalize huo upuuzi usidhan mkeo haumii,
Anaumia sana anachofanya ni uvumilivu na ustarabu tu alionao,
Kwa vile ni kitu mkeo anajua badilisha namba kwan ukiblock tu anaweza tumia namba nyingine na usumbufu ukaendelea.

Dah inakuwa ngumu kwani hata mimi ni 3rd part, sijui huyu jamaa au huyo msichana kwa undani kama wanavyojuana wenyewe.

May I please reserve my comments for now!!

Ukizama ujue kuogelea!!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom