Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Pole!!Unajua wadada huwa mnapenda vitu visivyowezekana at a time. Lazima akili zenu zikue na kukomaa. Imagine mimi ndo first born kwetu, wazazi wanaishi nyumba ya udôngo, nna wadogo wako chuo hawana mkopo. Nakwambia tuoane, nikatoe mahali kwenu ili tuwe pamoja ndoa tutaibariki mambo yakikaa vizuri hutaki! Eti mpaka sherehe ili rafiki zako wakuone ukiwa na shela! Haya ni matope, unajua kabisa nakupenda na hali halisi unaifahamu na bado unaendelea kunikandamiza! Kwani wangapi wameoana bila sherehe ndoa zao zina amani na maendeleo? Wazazi wangu wamenisomesha ili niwaokoe waendelee kupata shida ili tu wewe na rafiki zako mfurahi? Wadogo zangu wasisome kisa we uvae shela? Kumbukeni mke sio ndugu, ukiniletea complication siôni shida kutafuta mwingine. We uolewe na hao rafiki zako! Kuna wengine anatamani hata akatoe yeye mahali kwa mwanaume, nyie mnang'ang'ania sherehe!!
Heshima kwenu wanajamvi.
Umri wangu unakaribia 30. Nina mpenzi ambae tulipanga tufunge ndoa siku za karibuni. Ajabu ni kwamba sasa hivi anataka nimzalie mtoto ndoa 'itakuja tu'! Napata wasiwasi. Nimeshamkatalia ila naona hanielewi. Sasa hivi hataki kuongelea ndoa tena! Anachotaka ni mtoto TU.!!!!! Na ukianzisha habari ya ndoa anabadilika mpaka sura!!!Nahisi anatafuta sababu tuachane. Nimemwambia nipo tayari kusubiri, kama anayo nia tufunge ndoa ndio tuwe na mtoto. Natamani sana kwenda altareni na shela jamani! Ndio sala yangu kila siku. Hata kama hakutakuwa na sherehe kubwa nachotaka tu ni ndoa! Jamani mlio oa au kuolewa mlipitia haya? Naona nimechoka.
Kwanza ulishaharibu. Mwanaume uliyetarajia ufunge naye ndoa haukutakiwa ufanye naye mapenzi. Labda kama siyo ndoa ya kikristo
Labda tuanze na definitiôn ya ndoa ili watu waelewe. Ndoa sio kuvaa shela jamani! Ni more than that! Mpaka sasa nilichoshuhudia kwenye kila harusi 10 za wanaochoma michango yetu 6 zinaparaganyika ndani ya miaka miwili. Ndo lengo la kuvaa shela? Au lengo la wanawake ni kuambiwa tu "harusi yake ilikuwa bab kubwa!" bila kujalisha atadumu nayo kwa muda gani? Inabidi jamii ijipange upya na haya matukio yaliyokosa mwelekeo.
Heshima kwenu wanajamvi.
Umri wangu unakaribia 30. Nina mpenzi ambae tulipanga tufunge ndoa siku za karibuni. Ajabu ni kwamba sasa hivi anataka nimzalie mtoto ndoa 'itakuja tu'! Napata wasiwasi. Nimeshamkatalia ila naona hanielewi. Sasa hivi hataki kuongelea ndoa tena! Anachotaka ni mtoto TU.!!!!! Na ukianzisha habari ya ndoa anabadilika mpaka sura!!!Nahisi anatafuta sababu tuachane. Nimemwambia nipo tayari kusubiri, kama anayo nia tufunge ndoa ndio tuwe na mtoto. Natamani sana kwenda altareni na shela jamani! Ndio sala yangu kila siku. Hata kama hakutakuwa na sherehe kubwa nachotaka tu ni ndoa! Jamani mlio oa au kuolewa mlipitia haya? Naona nimechoka.
nikusaidie tu kwa huyo shela huvai na mtoto hupati.......amesha kustukia umekomaa hustahili hiyo sasa bora ionekane ulishazaa then mpashre kiporo
Heshima kwenu wanajamvi.
Umri wangu unakaribia 30. Nina mpenzi ambae tulipanga tufunge ndoa siku za karibuni. Ajabu ni kwamba sasa hivi anataka nimzalie mtoto ndoa 'itakuja tu'! Napata wasiwasi. Nimeshamkatalia ila naona hanielewi. Sasa hivi hataki kuongelea ndoa tena! Anachotaka ni mtoto TU.!!!!! Na ukianzisha habari ya ndoa anabadilika mpaka sura!!!Nahisi anatafuta sababu tuachane. Nimemwambia nipo tayari kusubiri, kama anayo nia tufunge ndoa ndio tuwe na mtoto. Natamani sana kwenda altareni na shela jamani! Ndio sala yangu kila siku. Hata kama hakutakuwa na sherehe kubwa nachotaka tu ni ndoa! Jamani mlio oa au kuolewa mlipitia haya? Naona nimechoka.
Unajua wadada huwa mnapenda vitu visivyowezekana at a time. Lazima akili zenu zikue na kukomaa. Imagine mimi ndo first born kwetu, wazazi wanaishi nyumba ya udôngo, nna wadogo wako chuo hawana mkopo. Nakwambia tuoane, nikatoe mahali kwenu ili tuwe pamoja ndoa tutaibariki mambo yakikaa vizuri hutaki! Eti mpaka sherehe ili rafiki zako wakuone ukiwa na shela! Haya ni matope, unajua kabisa nakupenda na hali halisi unaifahamu na bado unaendelea kunikandamiza! Kwani wangapi wameoana bila sherehe ndoa zao zina amani na maendeleo? Wazazi wangu wamenisomesha ili niwaokoe waendelee kupata shida ili tu wewe na rafiki zako mfurahi? Wadogo zangu wasisome kisa we uvae shela? Kumbukeni mke sio ndugu, ukiniletea complication siôni shida kutafuta mwingine. We uolewe na hao rafiki zako! Kuna wengine anatamani hata akatoe yeye mahali kwa mwanaume, nyie mnang'ang'ania sherehe!!