Ananipenda kweli?

Ananipenda kweli?

Yani umemuacha uliekuwa nae mara ya kwanza kisa umepata mwengine??, alafu ndio ukangudua kwamba hukumpenda??
Yani kama uliua kwa panga, basi utakufa kwa panga tu..

Anasema hakumpenda mpenzi wake wa kwanza na siye aliyenaye kwasasa
 
hapo sasa ni wewe kuwa na makeke kama kweli unahitaji kuwa na future nae... awezi fanya maamuzi ya kumwacha mpenzi wake kama ataona na wewe ni mzigo jitume deka mjali mpende akisha kaa kwenye mstari tulia sasa acha kazi kwake

Kumbe ndo zako nimekugundui hongera sana.
 
Mwaya ucmpe moyo wako kwanza ukae mguu ndani mwingine nje, mana hawa watu hawatabiriki
 
Habari yako dada mm ninachokushauri ni kwamba kwanza kaa nae na muongee kuhusu hali halisi ya mapenzi yenu na kila mmoja atoe ya moyoni bila hata kuja kuasilitiana ww umpe sababu za kuachana na mpz wako na yy akupe sababu za kutokuachana na hyo mpz wake kwani ww unampenda na yy anakupenda ni bora kila mtu awe mkweli kwa mwenzake!kwani hyu mpz wako unamuona anamsimamo gani na ww na hyu mpz wake ambae unasema kama una ws ws nae kama watakuja kurejeana na kuja kukuuumia moyo wako?

asante sana. kam nilivyosemq hawana mawasiliano mazuri.
 
Ili mmoja acheke lazima mwingine alie and vice versa

Mda si mrefu either wewe utachekelea na mwenzio atalia au vice versa
 
Habari wana jf, hii mara yangu ya kwanza kupost kuomba ushauri na ninaomba ushirikiano.
Miezi miwili iliyopita nimekuwa na uhusiano na mwanaume ambaye anaonekana kunipenda na mimi ninampenda sanaaa.Tatizo ni kuwa mpenzi wangu nilimpata nikiwa na mahusiano na mtu mwingine ambaye nilimwacha baada ya kuona sina mapenzi nae ya kweli, huyu mpnz wangu nae alikuwa na mahusiano na mwingine,lakini hakuwahi kuachana nae japo hawakuwa na mawasiliano mazuri,zaidi ya yote ananiambia hana mpango nae ila msichana huwa anamtafuta mwanaume na kumtaka wakutane ila mwanaume anakataa ila hawezi kumwambia waachane,hofu yangu ni kuwa siku moja watarudiana maana hawajaachana. Siwezi kumwambia kwa lazima amuache ila naona anamuonea huruma kumwacha. Naombeni ushauri maana ninampenda na sitamani hata kumkosa yani, nahofia siku wakikutana watapendana upya.

duuu..naomba ujaribu kuvunja huo mtandao..maana mrefu adi nimepotea wakat najaribu kusoma sredi
 
copy & paste crusoo, hao wanaendelea na wanakutana kama kawaida! Tafakari chukua hatua!
 
Yani umemuacha uliekuwa nae mara ya kwanza kisa umepata mwengine??, alafu ndio ukangudua kwamba hukumpenda??
Yani kama uliua kwa panga, basi utakufa kwa panga tu..
Yaani wewe umetoa makavu live Bila hata chembe ya huruma!
 
Kusema hana mpango nae anafanya maigizo, ili akuingize wewe kwenye mtego wake, akishakulamba mara kadhaa, atakuwa hana muda tena na wewe
 
Ahahahaaa...mie nilikuwa najuwa kero za muungano zipo kwenye siasa tuu...kumbe na kwenye mapenzi zipo???...pole tanganyika...naona mwenzio zanzibar ana serikali yake na bado yumo kwenye muungano wewe huna hata rais wako..wako wa muungano yeye ana wake na wa muungano...ahahhaaaa..pole tanganyika weee.

Ulisema ulikuwaga na serikali yako ukaiacha ukaingia hiyo ya muungano???....pole sana.
Ushauri- kuweni na katiba ya serikali tatu kama ya tume ya warioba...wewe tanganyika anzisha serikali yako na yye zanzibar awe na yake kisha muunde ya muungano. Kero zikizidi kwenye muungano unarudi unakuwa serikali ya tanganyika huru...ahahahahaahahaha mpaka raha jamani...

Au muungano wa mkatabaaaaa????
 
10000000000000% kama IPO.
 
Back
Top Bottom