Ananipenda kweli?

Ananipenda kweli?

Mapenzi yako hivi, huyo uliyekuwa nae/uliyeachana nae ulikuwa humpendi ila yeye alikuwa anakupenda sana tu, elewa kwamba huyo uliyenae hakupendi ila wewe unampenda, ila kwa vile unampenda unaona na yeye anakupenda, angekuwa anakupenda asingeshindwa kuachana na huyo mwingine, jiandae kuumia kwa matokeo ya mbeleni kama ulivyomuumiza mwenzio. Hayo ndo mapenzi usiogope
 
Hahaha!!

Jirani we huoni ubinafsi wa huyu bi mkubwa, eti yeye yupo tayari kuiba vya watu lakini hataki kuibiwa vyake

Acha tu jirani kimjini mjini mambo yanakwenda hvyo....
 
aiseee funguka ndugu ujue msimamo wa huyo kaka
 
Back
Top Bottom