Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,554
Ndg wana JF, kuna binti 1 2mefahamiana kitambo kama miaka 3 iliyopita, tulishapeana namba za cm na niliwahi kumtaka kimapenzi akakubali japo sikuwahi ku-do naye.
Jana nikampigia cm akapokea, nikampa appointment - akakubali kuja, tukatumia kama kawaida, ikafika muda nikamwambia nichukue room tuka-do, akakubali, nikampatia ela ili atangulie.
Alipoondoka cm yake ikawa haipatikani, nikajua nimetapeliwa,
Baada ya muda akanipigia yeye - akiwa analia, nikamuuliza nini kimemsibu akanambia atanieleza kesho (leo)
Leo nikampigia cm, akanambia anipenda sana ndo maana hakukubali kuwa nami kwa kuwa ana VVU,
ANANIPENDA AU MWONGO? HAPA NILIPO AMENIPIGIA ANATAKA KUONGEA NAMI KWA MAPANA ZAIDI, NIENDE NISIENDE?