Nilikupenda Natasha lakini hakuna jinsi

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,446
• Mara ya kwanza nilikutana (Natasha) naye Facebook.
• Nikamchombeza kwa maneno matamu, akatokea kunifagilia, tukachati na kuchati, akaniambia anaona wivu nikiLIKE picha za wasichana wengine, hivyo nikaacha.
• Wakati ukaribu ukiendelea, nikamuomba namba ya simu, harakaharaka akanipa, siku hiyohiyo nikampigia simu usiku, tukaongea sana, nikamchekesha kwa vijistori vya hapa na pale, akafurahi sana.
• Sikuwa nimetongoza japokuwa alijua ninampenda sana, siku nilipoamua kufanya hivyo, akanichomolea, akaniambia ananichukulia mimi kama kaka, na yeye anataka nimuone kama dada, sikuwa na jinsi, nikakubaliana naye.
• Baada ya wiki moja, nikampigia simu, nikamwambia “Dada nataka unishauri, kuna msichana anatamani sana kuwa nami, je nimkubalie?” akaniambia nikatae lakini pia akanisisitiza nionane naye siku inayofuata, nikakubaliana naye.
• Kweli siku hiyo ilipofika, nikaulamba, nikapendeza sana, nikaondoka na kwenda kuonana naye Msasani, ile kukutana, akanisogelea na kuunikumbatia, alinukia vizuri sana, tukazungumza na kwenda sehemu kula, huko, akaniambia kwamba ananipenda.
• Kwanza sikuamini, nilimwambia how come dada kumpenda kaka? Akaniambia kwamba alishindwa kuvumilia, wakati nimekaa huku nikijiuliza, akanisogelea, akanipiga busu murua mdomoni, kweli nikahisi ulaini wa lipsi zake, harufu nzuri ya manukato, hakika ilinipagawisha.
• Siku hiyo ndiyo tukaanza uhusiano wa kimapenzi, kumbuka hatukuwahi kufanya mapenzi. Siku hiyohiyo, akabadilisha picha Whatsapp na kuniweka mimi, na mimi nikamuweka huku nikiandika status ‘My Lovie, Nothing Will Do Us Apart’.
• Mapenzi yakawa matamu sana, tuliwasiliana kila siku na kila saa, baada ya wiki nne, akaniambia kwamba anataka kuja kunitembelea, nikakubali, hivyo nikamualika.
• Kweli akaja, kilichofuata, nadhani wengi mnakijua, tukaridhika sana na hivyo kuliongeza penzi letu kutoka moja mpaka mbili.
• Baada ya miezi sita huku nikiwa nimelewa kwa penzi lake, nikamwambia kwamba nahitaji kwenda kwao, nikapafahamu tu kwani haikuwa sawa tuwe wapenzi halafu nisipafahamu kwao, nilitaka hata siku imetokea nimempa mimba kwa bahati mbaya basi nijue nini cha kuwaambia wazazi wake huko kwao, akawa ananizingua.
• Sikutaka kujali sana, nikawa namsisitizia sana, bado akakataa kwa kunipa kalenda, mara kesho, mara wiki ijayo, sijui baba yupo, maneno mengimengi.
• Nilipata mapenzi, nikapata ngono, lakini kupata vyote hivyo bila kupafahamu kwao, niliona tatizo kubwa, nikang’ang’ania.
• Nilipoona imeshindikana, nikaamua kumtumia relationship ya kimapenzi, yaani akubali na uhusiano wetu utambulike humo Facebook kwani nilihisi kama napokonywa, napo hakuikubali, yaani ilikwenda na kuwa pending.
• Nilichokifanya ni kuanza kupeleleza. Kulikuwa na msichana mmoja ambaye kila siku alikuwa akicomment kwenye status zake kwa kumuita BFF yaani Best Friend Forver. Huyo msichana aliitwa Rose, nikaamua kumfuata inbox.
• Nikaanza kumzoea Rose, akatokea kuwa karibu na mimi, nikamuomba namba ya simu, alihisi labda namtaka lakini haikuwa hivyo, akanipa namba, tukaanza kuwasiliana kwenye simu.
• Tukazoeana, nikamfurahisha sana lakini siku zote nilimwambia kwamba hatutakiwi kuwa wapenzi, akakubali, ikafika siku nikataka kuonana naye, akakubali na tukaonana.
• Siku hiyo tulizungumza mengi, nikamwambia kwamba kuna rafiki yangu anampenda msichana mmoja facebook na alikuwa tayari kufa kwa ajili yake, akaniuliza msichana gani, nikamwambia anajiita Precious Baby Girl (Natasha).
• Kwanza akacheka sana, akaniambia anamfahamu msichana huyo, ni msichana mrembo, rafiki yangu wala asijisumbue kwani Natasha ana mwanaume wake, jamaa mmoja mwenye mkwanja wa maana, na anampenda sana.
• Nilichomwambia ni kwamba jamaa anataka kuonana naye, amwambie ukweli tu macho kwa macho, wengine wamezaliwa na bahati zao hivyo anaweza kukubaliwa. Kwanza Rose akakataa, lakini baada ya kumchombezachombeza, akakubali, akanielekeza anapoishi Natasha, tukaagana.
• Maneno yake yakanichanganya sana, nikawasiliana na Natasha, jinsi tulivyokuwa tukichati, alivyokuwa akinipa ahadi za kunipenda milele, ilikuwa ngumu kuamini kama kweli msichana aliyemzungumzia Rose alikuwa huyu Natasha.
• Nilichokifanya ni kuondoka nyumbani siku inayofuata na kwenda mtaani kwao, alikuwa akiishi Sinza Vatican, nilipofika huko mpaka nyumba aliyokuwa akiishi, nikakutana na gari moja kali limepaki nje kwao, nililiangalia, lilikuwa la kifahari sana, ghafla geti likafunguliwa, nikajificha, akatoka Natasha, mlango wa gari ukafunguliwa, akatoka jamaa, wakakumbatiana na kisha kubadilishana mate, iliniuma sana, nikapiga picha harakaharaka na kuondoka zangu.
• Nilipofika nyumbani, sikuacha kuchati naye, nilimpenda kwa moyo mmoja, sikuamini kama yule niliyemuona alikuwa yeye, wakati mwingine nikahisi kama nilimfananisha hivyo kumuuliza kama alikuwa na pacha wake, akasema hapana, yupo peke yake na hawajazaliwa mapacha.
• Sikutaka kumwambia nilichokiona, nilijifanya kumsisitizia nipafahamu kwao lakini bado alinizingua pasipo kujua kwamba ninapafahamu.
• Hiyo haikuwa mwisho, mara kwa mara nilikuwa namfumania mazingira ya kwao, tena akiwa na mwanaume huyohuyo, walikuwa kwenye mapenzi ya dhati.
• Siku zikakatika, kuna siku nilimwambia kwamba nataka kuonana naye, kweli tukaonana, ilikuwa katika hoteli ya Flawless iliyokuwa Mikocheni, hapo, nilimwambia ukweli kuhusu hisia zangu kwake, nilitaka ajue ni jinsi gani nilikuwa nikimpenda, alitabasamu, akafurahi sana, nikamuuliza swali moja, alikuwa tayari kuolewa na mimi?
• Kabla ya kunijibu akatoa tabasamu pana na kuniambia kwamba alikuwa tayari, nikamwambia kwamba anatakiwa kuwa mkweli kwa kila kitu. Nikamwambia kwamba mimi nilikuwa na wasichana, hao wote nimewadelete pale nilipoamua kuwa naye, je, yeye wake aliwadelete? Na kama wapo, anaweza kuwadelete kwani nilitaka tuanze upya kwenye mapenzi.
• Akaniambia kwamba alikuwa nao, aliwadelete na hapo yupo na mimi tu.
• Hakujua kama nilijua mengui, nikamwambia aniambie ukweli, asinifiche ili tujue wapi pa kuanzia, akanisisitizia kwamba hakukuwa na mwingine. Nikamuuliza kweli? Akasema ndiyo.
• Nikakubaliana naye, nikaondoka zangu kuelekea nyumbani. Nilikasirika kwa kuwa alinidanganya, nikaziangalia zile picha, kadiri nilipozitazama, hasira ilizidi kunishika, hapohapo bila kujiuliza, nikamtumia meseji na kumwambia “Naomba tuachane”.
• Nahisi alishtuka, akaniuliza kwa nini? Nikamwambia nahitaji msichana mkweli.
• Hakuridhika, akanipigia simu, akaanza kunilalamikia, kwa nini nimemwambia hivyo, nikamwambia kwamba alikuwa muongo, ila ajue kwamba fedha si mapenzi, zinaweza kununua ngono lakini si mapenzi, zinaweza kununua dawa la si uhai.
• “Kwa nini?” nilimjibu ni maamuzi hasa baada ya kuona hakuwa mkweli. Nikamwambia kwamba namuacha ila kuna siku atanikumbuka, atajaribu kuja kwangu lakini hatokuwa na nafasi tena.
• Alijifanya kulialia, nilichokifanya ni kumtumia picha nilizompiga, baada ya hapo, nimamblock whatsapp, sikutaka kuwasiliana naye tena. Akawa ananipigia simu, ananitumia meseji lakini nilikuwa kimya, niliamua kufanya uamuzi, kuna kipindi msichana lazima atambue kwamba wewe ni mwanaume mwenye msimamo, usiyetetereka hata kidogo.
• Nilibaki na maumiivu moyoni, nilijisemea kwamba sitokuwa na msichana yeyote, kidonda alichonipa, sikudhani kama kuna msichana angeweza kuniponya kidonda kile. Wakati nikilia, yeye alitabasamu, wakati nikiumia, yeye alipata raha.
• Baada ya miaka miwili, wakati ndipo nilianza mishemishe ya kuoa, nikakutana na meseji yake ndefu inbox, alikuwa akiniomba msamaha kwa yote yaliyotokea, aliniambia ukweli kwamba alipotea, uamuzi aliouchukua ulimgharimu sana.
• Hakuniandikia meseji hiyo kutaka arudiane nami, ila aliniandikia kunionyeshea ni jinsi gani aliumizwa. Leo ninapozungumza hivi, Natasha hayupo kama alivyokuwa, alipata mimba, akatelekezwa, mwanaume yuleyule aliyekuwa akimfuata kwa gari. Jamaa alitaka kumchezetu, alimfuata kwa gari la kuazima, alimpakia na nyakati za jioni alilirudisha kwa mwenyewe.
• Iliniumiza, ikaniuma lakini sikuwa na jinsi. Uzuri wake haupo tena, mwili umeporomoka, kile kifua cha saa sita ambacho mara kwa mara alikipost FB, hakipo tena.

MORAL OF THE STORY
Tujitambue, tuangalie miaka kadhaa mbele na si siku kadhaa mbele.
 
Alafu ww jamaa nibonge la fala....ulitegemea kukuta dem hana MTU hapa mjini???
ulichotakiwa kufanya ni kumpora huyo dem kutoka kwa huyo tajiri....sio unalia lia kizembe unazira!!?.....
siku nyingine ukikutana na kadhia kama hii...unapiga mimba kabisa....maisha ni ligi...tek that to your pocket..
 
Pole aisee ila huy Natasha kwa sasa namkula mm alinisimulia jins ulivympnda namm nilitaman nikujue nashkur Leo umeleta uzi mwenyew
 
Alafu ww jamaa nibonge la fala....ulitegemea kukuta dem hana MTU hapa mjimojuni???
ulichotakiwa kufanya ni kumpora huyo dem kutoka kwa huyo tajiri....sio unalia lia kizembe unazira!!?.....
siku nyingine ukikutana na kadhia kama hii...unapiga mimba kabisa....maisha ni ligi...tek that to your pocket..
Hahaha ... demu wa mjini umkute single thubutuu labda mars huko
 
Alafu ww jamaa nibonge la fala....ulitegemea kukuta dem hana MTU hapa mjini???
ulichotakiwa kufanya ni kumpora huyo dem kutoka kwa huyo tajiri....sio unalia lia kizembe unazira!!?.....
siku nyingine ukikutana na kadhia kama hii...unapiga mimba kabisa....maisha ni ligi...tek that to your pocket..
Sawa bhana mimi fala
 
Kitendo cha kuachana nae na kumblock bila kurudi nyuma WEWE NI MWANAUME. Hongera sana.
 
Back
Top Bottom