Ananionesha kila kitu SKYPE!!

Ni miezi mitatu sasa naenjoy maraha tele ya binti wa kitanzania aliye masomoni Netherland.
usiku tunajinafas vya kutosha kwa kuoneshana kila kitu.
Kwangu hoja ya distance relationship doesnt work ni kama hoja isiyo na mashiko.
Naenjoooooooooy!

Kweli? yote unayaacha kwenye skype? isije kuwa unayaendeleza bafuni? au mzuka ukipanda unaelekea mitaa ya corner bar..Ok otherwise endelea ku enjoy
 
mwaya amini unavyoamini mana hapa utakatishwa tamaa tu akat we mwenyewe umerizika
 
yaani najifunza kitu kipya kila siku! lolest, jei efu ni HAKUNAGA!!!
 
muhimu ni kuridhika,kama unaridhika haina neno.hata wakikuponda humu.raha si unazipata bwana.na august haiko mbali.inaonyesha huyo binti ni full nyege
 
Ni miezi mitatu sasa naenjoy maraha tele ya binti wa kitanzania aliye masomoni Netherland.
usiku tunajinafas vya kutosha kwa kuoneshana kila kitu.
Kwangu hoja ya distance relationship doesnt work ni kama hoja isiyo na mashiko.
Naenjoooooooooy!

Nakushauri ujitathmini vizuri, mimi nahisi una tatizo la kisaikolojia, kwani unachofanya na mpenzi wako kiko nje ya utaratibu wa kawaida, la sivyo kama mwafikiri ni ugunduzi basi nendeni brela/tcra mkaandikishe patent number ya huu uataratibu mpya wa ku enjoy sexual relations kupitia skype!!! Nawatakia kila la kheri katioka utaratibu wenu huo wa mahusiano, na utasdhangaa computer hackers wakiwanasa picha zenu zitatawanywa kwenye mitandao mpaka mshangae!!
 
Potelea Mbali, Naridhika
haya mambo ya skype syaelew vzt,lakin hawez kupata hzo nude pictures zako na baadae yikatumka ktk namna hasi kwako(i mean kutumika negatively against u),its better being safe than sorry, smell something not very gud here!!!
 
Sijataja bado tunaoneshana nini (Kinachotupa RAHA), Watanzania kwa akili zao washafika mbaliiiiiiiiiiiii...!
 
Hahahaha!!! Ama kweli penzi ni kitovu cha uzembe, kaka unaambiwa unakula kwa macho unasema " potelea mbali"???? Haha


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
hahahahah hii hapo kwenye bold kali sana mkuu.
 
we kweli zuzu#anakupiga picha kila siku huenda anazionyesha kwa wenzie jinsi ulivo zuzu
mwanamke sharti ajifunike utupu wakr hadi mkutane
huyo ni kimeo haswaaaaaa umepotea njia
 
Back
Top Bottom