kisasangwe
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 292
- 56
yupo na kijana mwingine pale mataa ya fire naye ni kiboko ya foleni. Nadhani watumiaji wa barabara ya morogoro wanafahamu kabisa kuwa ukiona foleni inatembea kwa kazi ujue yupo yeye. Na hii inadhiirisha m2 akiipenda kazi yake ataifanya kwa ufanisi. Big up watumishi wote wanaotumika kwa moyo wa uadilifu .Inatia moyo kuwapongeza wanaostahili pongezi, wanaotoa pongezi kwa kuwatia moyo wenzao watekelezao kazi zao nao wanastahili pongezi.Big up.
Nadhani trafiki wote wa jiji hili wangekua kama huyu katika uongozaji wa magari baaaasi folen ingekua haiumizi hata kidogo
Huyu dada mara nyingi yuko hapa Ubungo mataa,yani yuko fast, akiwepo yeye watu hatuogopi foleni manake ni mambo ya chap chap. Watumiaji wa njia hiyo nadhani wanamfahamu. Huwepo mida ya asubuhi mara nyingi. Naomba wenye kumfahamu wanifikishie salaam. Aambiwe ananifurahisha.
yupo na kijana mwingine pale mataa ya fire naye ni kiboko ya foleni. Nadhani watumiaji wa barabara ya morogoro wanafahamu kabisa kuwa ukiona foleni inatembea kwa kazi ujue yupo yeye. Na hii inadhiirisha m2 akiipenda kazi yake ataifanya kwa ufanisi. Big up watumishi wote wanaotumika kwa moyo wa uadilifu .
Huyu kijana wa mataa ya FIRE ni kweli anajitahidi sana lakini ananikera kitu kimoja tu, KUTUMIA MKOROGO, aache bana, au ana asili ya Kongo?