Ananikata moto hajui tu

Ananikata moto hajui tu

Ngoja nikumegee siri
If I want a man I get him
Huyo mume wa mtu was purposely na ndio maana nilimuacha siku hio hio sijui kama hata unaelewa au unasoma kwa kujibu haraka haraka
Kama nilikuwa namtegemea ingenichukua muda sana kutoka kwake kwa taarifa tu

Mimi sijafika hata 36 lakini nadhani nikifika hapo pia nitamshukuru Mungu

Am trying to show you kuna vitu unajiaminisha unavijua ila huvijui

Anyway daktari upo department gani nitafute kiugonjwa nije,upo muhas au wapi?
Hahahahahaha wee chizi kweliet ndio maana nilimuacha siku hiyohiyo
Danganya toto hiyo

Kikubwa nikwamba, Wanawake mnaroho yenu yakipekee tu yenye huruma basi.

Ndio maana utajua kabisa mchizi fulan ni muhuni balaa, lkn bado mtoto wa kike utapelekea Upigwe risasi

Haya mengine njoo PM tuyajengee mwayaa, kama upo singida, nipokee leo nakuja huko
 
Dooh kuna kuliwa mtu kimasihara hapa
 
Hahahahahaha wee chizi kweliet ndio maana nilimuacha siku hiyohiyo
Danganya toto hiyo

Kikubwa nikwamba, Wanawake mnaroho yenu yakipekee tu yenye huruma basi.

Ndio maana utajua kabisa mchizi fulan ni muhuni balaa, lkn bado mtoto wa kike utapelekea Upigwe risasi

Haya mengine njoo PM tuyajengee mwayaa, kama upo singida, nipokee leo nakuja huko

wewe kweli experience bado huna

Ooh mbona kama unakaribia karibia mwanza
Karibu mwanza tule masato kwa kujimwaga
 
Yaani kabisa unalilia blue tick?

Sikiliza young man, kama upo serious na huyo binti achana na mambo ya kuchat chat, hizo ni mambo za wanaume hawapo serious...

Mwanamke atakujua kama utaruhusu uwe sehemu ya maisha yake, wakutana naye time to time (not always)...

Na kukutana kwenu inabidi kuwa na special moments, sio mnakutana kwenda kusagula mitumba...

Lastly, hakuna mahusiano yanaendelea kama mmoja wenu haoni faida. Kuna uwezekano bi mkubwa ashaanza ona harufu ya hasara kati yenu. When it comes to this moment, we kiroho safi piga chini huo ukaribu wenu
 
Hakuna haja ya kukuza, hupendwi tu
 
Uyo manzi achana nae brother!!! Ukishaona izo style ujue kuna mwenzio anakaba ile mbaya.... Chakufanya futa namba yake warembo wapo wengi mkuu" hakuna haja ujitese cuz kitakacho tokea atakubamiza anaweza akakupiga mizinga mikubwa alafu uzalilike cuz i know hutothibitisha muamala!!!! Sasa kabla ya hayo yote kukujia achana nae
 
.. Ona Maya, kuna siku hata wewe kama sijakosea, uliwah andika uzi, kua umefall kwa MUME WAMTU..na pia una mwingine

Nahisi ulikua unaomba ushauri ufanyeje???

BASI MAYA, KAMA WANAWAKE UNAOZUNGUMZIA NDIO AINA YAKO

amini nakuambia, hata wee ningekua sijajiweka wazi maisha yangu humu, ningekutongoza ungekubali tu kama kawaidana ningekukula.

Wanawake WOTE CHINI YA JUA ,BILA KUJALI ASILI YAO..MNAPENDA "POWERFUL MEN "

Mfano...Msanii Diamond, anawala sio kwamba ana Pesa, bali Machoni kwenu Upowerful wake ni Umaarufu ..

Mwanaume mwengine, sio Maarufu ila upowerful wake upo kwa Pesa

Mwingine hana Pesa, ila Anajiamin, mwingine Anawonekano maridadi.

Kila mmoja, akijua ku exercise upowerful wake, ATAWALA MPAKA ATAANZA KUWAKIMBIA.

nyinyi sindo wanawake, mnaoweza tembea na mume wa mtu, sababu tu mkewe ambaye ni rafikio kakusimulia kua Mumewe anamikito ya ajabu? So unajilengesha ili uone yaliyomo??

MIMI NASEMA IVI, CHINI YA JUA, WANAWAKE MNAFANANA.

Nauliza, wanawake gan wewe unazungumzia???.
Wanawake wengine ni asexual. Nao unawahusisha au?
 
Ngoja nikumegee siri
If I want a man I get him
Huyo mume wa mtu was purposely na ndio maana nilimuacha siku hio hio sijui kama hata unaelewa au unasoma kwa kujibu haraka haraka
Kama nilikuwa namtegemea ingenichukua muda sana kutoka kwake kwa taarifa tu

Mimi sijafika hata 36 lakini nadhani nikifika hapo pia nitamshukuru Mungu

Am trying to show you kuna vitu unajiaminisha unavijua ila huvijui

Anyway daktari upo department gani nitafute kiugonjwa nije,upo muhas au wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom