Ananidanganya ili anioe

 
uongo haujulikani isipokuwa kwa aliyeongopewa. maadamu wewe umebaini anakudangany huyo ni mkweli. oaneni muanze maisha kwa pamoja mtatafuta na kupata, Mungu atwasaidia......
 
Yani nakubaliana na wewe asilimia 1000000000000000000000000 mlango anaotaka kuingilia mm nilishaungilia miaka kadhaa ilopita
 
Miaka 31 hana hata kitanda ,,?? Analala chini?? Miaka yote hiyo alikuwa anafanya nn?? Pima IQ ya mumeo mtarajiwa pia ,sidhani kama mwanamume timamu kabisa miaka zaidi ya 30 hana hata kitanda halafu anakuahidi kukusomesha
Huyoo jamaa boya saana,,,hafai kua mme wa mtu
 
Hujadanganywa bana embu rekebisha hapo.. Kama unampenda kalale chini ila kama humpendi subiri afanikiwe ndiyo uende kupenda hela
Eti mwaya!! mbona Dr mihogo na Josephine walivumilia kula mihogo na dagaa na sasa wanakula bata Canada?
 
Sikush&iri hiyo ndoa hata kidogo shule ndo kwaheriiiiii kisa ndoa? Mdogo hivyo??? Embu acha matani na maisha loh gori keeper.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…